mdhalendo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2011
- 282
- 273
Ikiwa ni siku chache baada ya kampuni ya Samsung kutangaza kurejeshwa kiwandani kwa simu zake aina ya Samsung Galaxy Note 7, ajali nyingine kubwa imetokea baada ya gari aina ya jeep kuwaka moto kutokana na kulipuka kwa galaxy note 7 iliyokuwemo kwenye gari hiyo.
Samsung inapaswa kuchukua hatua za haraka kabla haali hii haijaharibu soko la kampuni hiyo.
source video
Samsung inapaswa kuchukua hatua za haraka kabla haali hii haijaharibu soko la kampuni hiyo.
source video