Wakuu habari za kutwa?
Samahani jamani kuna gmail address yangu inatumiwa na mtu lkn bila idhini yangu af mbaya zaidi kwenye ACC ya email yangu nilikua sijaweka picha mbaya zaidi kaweka mpaka...
WAKUBWA NIANAOMBA MSAADA WENU...KWA JINSI GANI NITAWEZA KUPATA VITABU VIFUATAVYO :-
Introduction to Business ABE Study Manual
Ian Marcouse, et al.,Business Studies, 2nd Edition (2003) Hodder...
Wakati wa uzinduzi wa iphone 7 mnamo September 7 iphone walithibitisha kwamba simu zao hazitakua na wired earphones bali zitakua wireless. Apple airpods zinakua runed by apple chip w1 ambayo...
Mimi ni Mtanzania, naombeni kuuliza kama kuna mtu anafahamu kama Kindle Fire zinazouzwa na Amazon zinaweza kufanya kazi Tanzania bila matatizo. Kama matatizo yapo ni yapi, je yanaweza kutatuliwa...
Tangu Kuanzishwa mwaka 2007, Kindle imajizolea umaarufu mkubwa kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya majarida, vitabu, blogs na habari mbalimbali kutoka vyombo vya habari vianavyotoa habari...
wadau,mimi nina mpango wa kununua amazon kindle,hii ni tablet ambayo nadhani sio maarufu sana kwa hapa bongo kama zilivyo za ipad2,samsunng n.knaombeni ushauri kuhusu hili,kwani nimeziona tu...
Nataka Ninunue Kindle Kwakua Napenda Kusoma Vitabu Sana, Nilisikia Ni Nzuri Kwa Kusomea Sasa Nachouliza Kingne Ni Je Unaweza Kuitumia Kuingia Net Na Kubrowse? Na Vingne Kama Unavijua Inavowezesha...
Wadau wa Electronic Device, Nimekutana na hii kitu "Amazonkendle".
Nimeletewa tu kama Zawadi na demu wangu yupo nje, lkn mi sijui hata matumizi yake na inatumikaje?? Kwanza ni Black and White...
Hello wadau,Tunapenda kuwatangazia kuwa offer za Pawahost dot com bado zinaendelea kwa huduma zifuatazo.
Website Designing+1 year free hosting.
Project Management System-Inayokupa fursa ya...
Wakuu hii Software nilisha install lakini sijawahi kuangalia mpira hata Siku moja lengo lengo langu nicheki Sys ports, bEiN Sports, BT sports Channels lakini inaonesha Al-Jazeera tuu
Nimepitia...
Habari zenu wapendwa..naomba msaada ya kuifanya home theatre yangu iwe inakubali ku play music au video za aina yoyote ile ninazoweka kwenye flash maana sometym zinaplay some tym zinakataa...
habari wanajf nahitaji kila nikiingia whatsapp inaniambia niupdate ila cha ajabu nikiupdate inahitaji wifi je wifi ina washwaje ili niweze kuupdate natumia nokia lumia 525.