Kuna mtu anatumia gmail acc yangu

Kuna mtu anatumia gmail acc yangu

naan ngik-kundie

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2014
Posts
1,766
Reaction score
2,437
Wakuu habari za kutwa?

Samahani jamani kuna gmail address yangu inatumiwa na mtu lkn bila idhini yangu af mbaya zaidi kwenye ACC ya email yangu nilikua sijaweka picha mbaya zaidi kaweka mpaka picha yake!!
Ebu wataalam nisaidieni jinsi ya kumkwapua huyu mtu ACC yangu maana nikejaribu kubadili pincode lkn mchana huu tena nimekuta kaweka picha tofauti na ya previous!

Asante.
 
weka picha yake hapa tusgulike nae
mbona ni dakika sifuri tu mkuu Mkwawa
atamnasa kama ndezi .

Last edited by a moderator:
weka picha yake hapa tusgulike nae
mbona ni dakika sifuri tu mkuu Mkwawa
atamnasa kama ndezi .

Hapana mkuu naofia sana TCRA wanaweza kunishughulikia kwa kusambaza picha ya mtu bila idhini yake mbaya zaidi ni mtoto wa kike sasa si itaonekana nimemdhalilisha kaka.
 
Last edited by a moderator:
kama una kifaa kingine ambacho unaweza ku access hiyo account yako fanya ubadili password kisha ukubali ku logout kwenye vifaa vingine vyote ili hata kama ulikuwa ukitumia kuingia bila password itakulazimu kuanza upya kila mahali kwa kutumia password mpya utakayoianzisha.
 
Dada yangu hapo kuna uwezekano ulishawahi kumuuzia mtu simu yako au ulishawahi kuingiza account yako kwenye simu ya mtu sasa hapo chakufanya ingia kwenye akaunti yako kisha wacontact google
 
Asante sana Kobe nimefanikisha
 
Dada yangu hapo kuna uwezekano ulishawahi kumuuzia mtu simu yako au ulishawahi kuingiza account yako kwenye simu ya mtu sasa hapo chakufanya ingia kwenye akaunti yako kisha wacontact google

Mimi ni Me boss
Asante kwa msaada wako
 
Haya ndiyo majibu ya watoto waliolelewa bila malezi ya baba.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Mkuu pole kwa mjibu uliopewa duu haki mungu nimecheka sana!![emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Mkuu sio vizuri jibu lako asee mwenzako ana shida!!wee unamjibu mkato
Kwani TCRA majukumu yake ni yapi...nimempa jibu fupi lakini sahihi...mawasiliano yako yapoingiliwa na mtu suluhu itapatikana TCRA
 
humu ndan kama una hasira zako unaweza jikuta polis aise si kwa majibu hayo.
 
Dah huku utapata msaada ila sass mpaka uupate kuna mikimiki ya kutosha Kama roho nyepesi ni shiida
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom