JAPUONY
JF-Expert Member
- Jul 16, 2010
- 383
- 186
Mimi ni Mtanzania, naombeni kuuliza kama kuna mtu anafahamu kama Kindle Fire zinazouzwa na Amazon zinaweza kufanya kazi Tanzania bila matatizo. Kama matatizo yapo ni yapi, je yanaweza kutatuliwa, kivipi?ninampango wa kuja TZ na kindle fire yangu sasa nisije beba kitu ambacho nyumbani hakifanyi kazi. Naombeni ushauri wataalamu.
Thanks.
Thanks.