Ngaliba Dume
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,710
- 3,689
Wadau wa Electronic Device, Nimekutana na hii kitu "Amazonkendle".
Nimeletewa tu kama Zawadi na demu wangu yupo nje, lkn mi sijui hata matumizi yake na inatumikaje?? Kwanza ni Black and White then ina vitabu viiiiingi ndani yake.
Wadau wenye kujua matumizi yake.