wadau,mimi nina mpango wa kununua amazon kindle,hii ni tablet ambayo nadhani sio maarufu sana kwa hapa bongo kama zilivyo za ipad2,samsunng n.knaombeni ushauri kuhusu hili,kwani nimeziona tu online kwny website yao...kama kuna mtu anazijua vizuri au alisha wahi kutumia anijuzeshughuli zangu hasa ni kusomea vitabu,handouts (ppt),surfing, ku andika andika articles etc...wadau kama kitu hii inafaa kwa mambo hayo nijuzeni.kilicho nivutia zaidi ni bei yao,ni ndogo kulinganisha na tabs zingine kama ipad2.natanguliza shukrani