isaiah9
Member
- Jun 29, 2014
- 71
- 67
Wakati wa uzinduzi wa iphone 7 mnamo September 7 iphone walithibitisha kwamba simu zao hazitakua na wired earphones bali zitakua wireless. Apple airpods zinakua runed by apple chip w1 ambayo inakuwezesha ku connect iphone yako au apple watch na hizo earphones.
Apple airpods zinakuwezesha kuongea na Siri kwa urahisi kwa ku zi 'double tap' directly unaongea na Siri
Kampuni ya apple wamezitoa kwa bei yao "nafuu" ya $159 tu
Wale team apple kaz kwenu
Apple airpods zinakuwezesha kuongea na Siri kwa urahisi kwa ku zi 'double tap' directly unaongea na Siri
Kampuni ya apple wamezitoa kwa bei yao "nafuu" ya $159 tu
Wale team apple kaz kwenu