Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Shirikisho la kandanda nchini misri limethibitisha kuwa mshambuliaji wake Mohammed Salah maarufu kama "Mo salah" Amekutikana na ugonjwa wa Covid19 wakati akijiandaa na mechi ya kufuzu afcon Hivyo...
0 Reactions
2 Replies
685 Views
Kitendo cha baadhi ya mashabiki kuhamasishana wakaishangilie timu ya taifa la kigeni ni sawa na kuifanyia nchi ya kigeni ujasusi dhidi ya nchi yako ambayo huhesabiwa ni uhaini na adhabu yake ni...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Manuel Neuer Ndiye golikipa Bora wa kombe la Dunia la mwaka 2014. Manuel Peter Neuer (amezaliwa tarehe 27 Machi 1986) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Ujerumani ambaye anacheza kama golikipa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndio hivyo dogo kala miaka minne na nusu. === Mchezaji wa Kitanzania Simon Msuva amethibitisha kujiunga na Wydad Casablanca ya Morocco kwa mkataba wa miaka minne (4) akitokea Difaa El Jadida.
7 Reactions
15 Replies
3K Views
Ni swali ambalo wanamichezo mbalimbali huwa wanajiuliza karibu kila siku, kwa nini timu ya taifa ya Argentina 🇦🇷 haina mtu mweusi?. Kwanza kabisa tofauti na imani ya wengi baada ya Afrika bara la...
7 Reactions
50 Replies
8K Views
Baada ya kuzagaa tetesi za chama kutimkia jangwani, upande wa pili napo kuna tetesi za kiungo mkabaji wa timu ya wananchi Mukoko Tonombe "ticha" kuhamia Unyamani dirisha dogo Dceember 15. Hii...
4 Reactions
47 Replies
6K Views
Joash Onyango mchezaji wa timu ya taifa ya Kenya leo muda mfupi kabla ya mechi ya kimataifa aneondolewa kikosi cha timu yake ya taifa baada ya kugundulika kuwa na COVID 19 baada ya vipimo akiwa...
5 Reactions
45 Replies
5K Views
Simba SC Tanzania have reached an agreement with Zambian international Clatous Chota Chama to extend his stay in the club for two more seasons. Chama will pocket $72,000 (Tsh. 180 million) in...
6 Reactions
48 Replies
8K Views
Vyanzo vyangu vimenipa habari mbichi Senzo Masingiza yupo chini ya ulinzi katika moja kati ya vituo Dar es Salaam akihojiwa kuihujumu Simba Sc.
8 Reactions
89 Replies
7K Views
Don Carlo katupa heshima... Tunastahili ufalme wa Merseyside.. Karibuni wapenz mashabiki wa Everton..
6 Reactions
42 Replies
2K Views
Kampuni ya Meriadian Bet imefunga baadhi ya akaunti za wateja wao kwa kile wanacho dai kuwa ni uhakiki wa akaunti kutokana na ulaghai wa wateja wao. Cha kusikitisha ni kuwa wateja ambao...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Walipo fungwa na Ruvu kiongozi wao alisikika akisema 'Simba ni klabu iliyo fanya usajili mkubwa haiwezekani inafungwa na katimu ka VPL. jana tena huyo kiongozi anadai Simba ilistahili kushinda...
4 Reactions
52 Replies
3K Views
Shirikisho la Mpira ya Miguu Afrika (CAF) limesema mashabiki wataruhusiwa kutazama mechi ya kufuzu AFCON kati ya Tanzania na Tunisia Mechi itachezwa Jijini Dar katika Uwanja wa Benjamin Mkapa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimeanza kujifunza draft nikiwa nina miaka 12 tu! Nilikuwa fundi rasmi katika umri mdogo sana kipindi nina miaka 15 nilishinda mashindano yote ya mtaani.! Akili yangu kuchoka mpaka nicheze na...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari wana JF Binafsi nimepanga nianze kubet ila sina ufahamu wowote na huu mchezo...kwa wale wakongwe naombeni uzoefu...nataka nibet kwenye mpira wa miguu. Naomba kufahamu: 1.Ni kampuni ipi...
1 Reactions
22 Replies
7K Views
Nimesikitika sana kama siyo mno Kumsikia leo mchana kupitia Kipindi cha Michezo cha Clouds FM Jumapili Mchana 'akiwashutumu' wazi wazi Wachezaji akina Clatous Chama, Luis Miquisonne na Larry...
10 Reactions
64 Replies
6K Views
Nakudodoshea hii Simba Sc wamepewa Plateua United ya Nigeria. Club hii ambayo sio bingwa wa Nigeria; iliteuliwa kuwakilisha nchi kwa sababu ilikuwa inaongoza ligi kabla ya lockdown ya Corona...
9 Reactions
68 Replies
8K Views
Huwa nashangazwa na jambo hili kwenye ligi yetu Tanzania mimi sio mfuatiliaji wa mpira mara nyingi nikiangalia taarifa za habari wasaa wa michezo huwa napenda kuangalia magoli yamefungwaje Lakini...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa upande wa simba watafute pacha nzuri centre back nzuri na defensive mildfilder kwa upande wa yanga nawapa pongezi kwa usajili wao. kiufupi wameimalika kila sehemu sijashangaa mkoko tonombe...
9 Reactions
86 Replies
6K Views
Tangu Jana sijaona mechi yoyote ya timu ya England UCL ikioneshwa Live zaidi ya recorded. Je, sababu ni nini?
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom