Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Boss Saalah Said Mohammed Mmiliki wa Kampuni ya Silent Ocean na Mdogo wake wa Damu Tajiri wa Yanga SC Gharib Said Mohammed tunajua kila Kitu juu ya ahadi yako ya Tsh Milioni 30 kama wakiifunga...
9 Reactions
31 Replies
4K Views
Za ndaaaaaani kabisa, #TETESI Yanga wamempa Million 400 Beki wa Simba Mohamed Hussein ''Zimbwe Jr'' ili aweze kujiunga na Yanga katika kipindi hiki. Taarifa zaidi inasema kwamba Yanga wanataka...
3 Reactions
49 Replies
3K Views
Hivi tungekuwa tunampa hizi Sifa zetu zote za Kinafiki tunazozitoa sasa sehemu mbalimbali asingezifurahia na hata Kumfariji alipokuwa bado Hai anapambania Maisha yake Hospitalini? Hakuna Kitu...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Je, kuna umuhimu wa kuuliza mashabiki wapige kura iwapo Simba inahitaji kocha tena kwenye mtandao? Je, ana uhakika gani waliopiga kura ni wana Simba?Unadhani leo akatokea mjinga mmoja pale...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Yanga Ina watu wenye level mbalimbali za uelewa. Tunajuwa kuwa hii ni janja ya kutuliza joto tu la fei kuondoka kizembe. Tunajuwa kuwa Kuna watu watavuta mkwanja kutuliza mambo ili Fei asepe...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Former AC Milan and Brazilian legend Kaka on the 2022 Qatar Fifa World Cup, He said: "Muslims are peaceful, kind, generous and hospitable and do not attack anyone. Europe and the West are lying...
12 Reactions
72 Replies
4K Views
Huu uhamisho unadhihirisha kuwa Azam fc wanapunguza QUANTITY na kuongeza QUALITY. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] YAJAYO YANAFURAHISHA, SIJAMTAJA MTU.
0 Reactions
11 Replies
925 Views
Viongozi wa Matawi ya Yanga wamesema watavunja mkataba na Azam kama ikijulikana walihusika kumshawishi mchezaji wao Feisal salum kuvunja mkataba.
7 Reactions
91 Replies
6K Views
Kufuatia sakata la feisal salum ndio imenifanya nielezee haya niliyoyaona kwa wachezaji wetu na team yetu ya taifa na jinsi wazawa wanavyodhaurauliwa na kushushwa thamani. Yaani watanzania sisi...
4 Reactions
10 Replies
969 Views
BERNARD MORRISON ANA MATATIZO YA KIFAMILIA [emoji41] Yanga kuwakosa watano kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa sugar. 1. [emoji1254] Khalid Aucho - Anasumbuliwa na maumivu ya misuli ya...
0 Reactions
7 Replies
994 Views
Nataka nichezee nife hata. Na mchezaji mmoja, Sasa kizungu changamoto hapo sijaelewa Ili mkeka uende inatakiwa mchezaji achezeje huo mpira, apige short golini au mradi kapiga tu shot!? Msaada
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Popote pale, muda wowote haiwezekani kutokea mjadala kuhusu nani ni mchezaji wa soka bora zaidi bila jina la Pele kutajwa. Mshambuliaji huyo wa Kibrazili amefanya alama yake kuwa mashine ya...
6 Reactions
10 Replies
3K Views
Na bahati mbaya ninavyojua ni kwamba 99% ya wana Yanga SC ni Choka Mbaya (Masikini) kama mimi tu GENTAMYCINE hivyo hakuna mwenye Ubavu wa kutokununua bidhaa zako zozote kuanzia Maandalizi, Nazi...
12 Reactions
59 Replies
4K Views
Fagio linaendelea huko Azam fc, Na sasa Chilunda na Salula wanatoka kwenda kutafuta malisho mengine.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mlete, mleteeeeeeeeeeeeeee......
0 Reactions
6 Replies
636 Views
FISTON Mayele anatakiwa na klabu ya RS Berkane 🇲🇦 ambao tayari wameaanza kumshawishi meneja wa wa nyota huyo ili avunje au kununua mkataba wake kisha wampe pesa ndefu kiasi cha $ 550k (Sh 1.2b)...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Nawasalimu kwa Jina la Sports, niende moja kwa moja kwenye Mada. Imekuwa kero sana kila unapofungua social media yoyote ni FEITOTO FEITOTO tuna mpa kichwa Sana Yule chalii mwisho ajione bila yeye...
1 Reactions
24 Replies
1K Views
Na nijiavyo Mfanyabiashara na Tajiri mwenye Akili Timamu hupenda Kufadhili Vilabu ambavyo vinafanya vyema, vinatangazika vyema na viko katika Nafasi nzuri Kimsimamo? Ukiona mahala popote pale...
1 Reactions
9 Replies
510 Views
Jenga picha Pele Mchawi wa Mpira, Huyu katika Biblia ya Soka ni Moses. Ni nabii mkubwa sana. Just imajini akiwa kitandani aambiwe Lione Messi anafananishwa naye. Atakata roho hapo hapo kwa...
10 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari wanabodi, Kama mnavyoona kukuru kakara za usajir za mchezaj wa Yanga bwana Feisal Salum (Fei Toto) kwenda Azam zinavyowatesa wana Yanga na hii ilianzia toka kwa mtukutu Bernad Morrison...
1 Reactions
7 Replies
727 Views
Back
Top Bottom