Ukiona GENTAMYCINE anachukiwa sana na Manyang'au wengi Mtandaoni / Mitandaoni licha ya Yeye Kubarikiwa mno na Mwenyezi Mungu na kuwa Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and...
Wakili na mwanamichezo mzoefu nchini, Aloyce Komba ametoa ufafanuzi juu ya dili la Fei Toto kutua Azam akisema:
.
“Yanga wamefanya uzembe wenyewe na wasije wakathubutu kukimbilia Fifa kama...
Naaam heri ya sikukuu za Krismasi na Maandalizi ya Mwaka Mpya 2023. Achana na mambo ya kulilia jezi nyeusi leo nakupa uchawi wa Yanga walioufanya kwa takribani mwaka mmoja Uchawi...
Kwenye Mchezo wa Jana ( Wenyeji wa Mechi ) walikuwa ni KMC ambao kwa sababu zao wenyewe waliamua Kuukimbia Uwanja wao wa Nyumbani wa Uhuru Mkoani Dar es Salaam na kuamua kuipeleka Mechi hii CCM...
Licha ya kusubiriwa kwa hamu na mashabiki wengi wa mchezo wa ndondi, pambano hilo limeishia Raundi ya Kwanza kutokana na Iddy Pialali kupata majeraha baada ya kugongana na mpinzani wake.
Wakati...
Kwa sisi tuaojua sheria za usajili wa wachezaji, hili swala la Feitoto na Yanga linawapa advantage Yanga kuendelea kummiliki mchezaji pamoja na mchezaji kuwa amelipia mkataba wake uliosalia...
Kweli ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni, nimeshangazwa na Mchezaji aliyekosa namba kikosi cha kwanza cha Yanga Herriet Makambo kulipwa 10M huku mchezaji mwandamizi na tegemeo Feisali Toto...
Mbiringe au Patashika ya Moto wa Ligi Kuu Tanzania Bara[emoji1241] kuendelea kugombewa leo Disemba 26,2022 ambapo Vijana wenye vipaji, Wenyeji wa mchezo Kinondoni Municipal Council , KMC FC🟠...
' Kila mchezaji mzawa hatakubali Feisal pekee ndiye arekebishiwe kipato huku wote wanakimbiza mpira dk 90! hili swala la feisal limeanzia kwa Stephane Aziz-K kununuliwa kwa bei mbaya na kuwa...
Gwiji wa soka wa Irani Ali Daei anasema ndege ya kimataifa imebadilishwa njia ili kumzuia mkewe na bintiye kuondoka nchini.
Mzee huyo mwenye umri wa miaka 53, ambaye ameeleza kuunga mkono...
Kinachomgharimu Moses Phiri ni kutokubali kwanba Mshindani wake Fiston Mayele yuko kwenye Njia ( Relini ) Kiufungaji kutokana na Kuizoea Ligi Kuu ya Tanzania kulko Yeye Mgeni.
Matokeo yake sasa...
Mchezo huu ni wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga ikiwa kileleni katika nafasi ya kwanza wakati Azam FC ikiwa nafasi ya tatu.
AZAM vs YANGA: Katika mechi 11 walizokutana kwenye Ligi Kuu tangu msimu...
Tayari mapambano yameshaanza ulingoni ndani ya Uwanja wa Majimaji Mjini Songea, leo Jumamosi Julai 30, 2022:
Ndunguru ashinda
Bondia Usungu Ndunguru amefanikiwa kupata ushindi dhidi ya Bernard...
Bondia Karim Mandonga amefanikiwa kupata ushindi wa pointi dhidi ya Alibaba Tarimo katika pambano la uzito wa kati lisilo la ubingwa la Raundi 4.
Akizungumza baada ya ushindi huo Mandonga amesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.