Simon Msuva ajiunga na Wydad Casablanca

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,336
Ndio hivyo dogo kala miaka minne na nusu.

===

1605073461057.png
Mchezaji wa Kitanzania Simon Msuva amethibitisha kujiunga na Wydad Casablanca ya Morocco kwa mkataba wa miaka minne (4) akitokea Difaa El Jadida.
 
One of the biggest achievements kwa Tanzanian Players!

Hatimae ndo nimeelewa kwanini hapo kabla alisema "...kuna jambo zuri linakuja," and I wish angekuwa si zaidi ya 25!

I hope habari hizi sio kama zile za Benifica!
 
Wewe usiwe unatoa story za akina ambangile unaleta umu bila kupta sorce ya story coz uyu msuva ililetwa abari umu kasign bernfica
ambangile ni mtaalamu
Wewe hata kuandika benfica hujui
 
Hongera sana Simon Happygod Msuva. Yawezekana sasa ndio sehemu ya mwisho ya juu ya carrier yake. Mungu awe upande wake aweze kung'ara.
 
One of the biggest achievements kwa Tanzanian Players!

Hatimae ndo nimeelewa kwanini hapo kabla alisema "...kuna jambo zuri linakuja," and I wish angekuwa si zaidi ya 25!

I hope habari hizi sio kama zile za Benifica!
Roho yangu huwa inasononeka ninapoona mchezaji wa Tanzania anapata fursa ya kucheza soka katika clubs kuwa za hapa Afrika au Ulaya umri ukiwa umesonga sana.
 
Back
Top Bottom