Tangu Barbara atoe barua ya kujiuzulu hakuna habari yoyote yakuonyesha anaichaje simba ( exit plan) Usajili unangojea dakika za mwisho halafu wachezaji hawajengi muunganiko. Ni vema mtu...
Nina uhakika kina timu zimewahi kuomba huduma ya Fei Toto na wachezaji wengine walioko utopolo na wakitoa ofa ya mishahara minono kwa wachezaji.
Ninachouliza tu,kuna mchezaji yupi amewahi kuuzwa...
Hapa ulipofika ndiyo uko kwenye kilele cha taaluma yako
Umefika hapa kwa kipaji na juhudi kazako na unastahili kupata mavuno ya kazi zako.
Bahati mbaya maisha ya bongo yamejaa utapeli mwingi...
Kamati ya usajili ya Simba imeyakata majina ya baadhi ya wagombea akiwemo Godfrey Nyange Kaburu na mafia Idd Kajuna bila kutueleza kinagaubaga sababu za kuwakata ni nini hasa. Na badala yake...
Bahati nzuri Binafsi nakujua ndani nje tena mpaka Dhambi zako ZISIZOSAMEHEKA ulizowafanyia wana Simba SC mpaka ukakoswakoswa Kupigwa Risasi Uwanja wa Taifa na Marehemu Zakaria Hanspoppe baada ya...
Wana Simba SC Wenzangu kuanzia leo anzeni Kumsahau na kuachana nae kabisa Mshambuliaji Cesar Lobi Manzoki kwa nina Uhakika wa 100% na najiamini kabisa kuwa hatokuja tena Kuichezea Simba SC hasa...
Kama Wewe hujawa au siyo miongoni mwa Wawania Tuzo na labda Ulitegemea kuwepo huna haja ya Kumalizia Hasira zako Kwangu GENTAMYCINE kwa Kunitukana na Kunidhalilisha.
Kwangu Mimi GENTAMYCINE...
Nilikuona ukiwa katika hali ya utulivu kabisa ukitamka Kuwashauri Azam eti kwanza watafute goli kipa badala ya kuhangaika na FEY!
Yaani Kwa mawazo yako ni kwamba kufungwa kwa Azam ilikuwa ni kwa...
Nimeona taarifa ya kuwa Nabi kakataa Fei Toto kurejea kambini hata baada ya mgogoro wake na club kusuluhishwa.
Kama ni kweli basi huyu kweli ni Professor haswaa.
Viongozi wa Yanga hawakupaswa...
Wamuwekea mil 14 kwa mwezi mezani boresho la mkataba.....
Kambole. Loading....
Fei adai jamaa wamelia sanaaaaaaaaaa na kudai kuwa
wamemuahidi watampa mke mmoja wa manara
ng'ombe wa mayele,
Priva...
Kikiundwa tu Kikosi Kazi cha Umafia (Michezo Michafu) ya Soka la Tanzania (Bongo) kisha Kikaaminiwa, kukawa na Usiri nina uhakika Simba SC ikizicheza Mechi Nne tu za Yanga SC ile ya Mtibwa Sugar...
GENTAMYCINE najuta ni kwanini wakati nacheza Mpira kwa Ngazi za Shule O level na A level achilia mbali Ligi Daraja la Tatu Mkoa pamoja na Ndondo hasa nafasi yangu ya Beki wa Namba Mbili, Beki wa...
Bahati mbaya nchi hii kuna watu wengi wanapenda ufuska na hasa uliopindukia wa kutamani jinsia yake mwenyewe.
Mfalme haimbi matusi na kwa hiyo watu kama hawa hawawezi kuwa mashabiki wake...
Na kumbuka mwaka jana alivyo teseka mayele. Alikuwa ana funga magoli kwa wakati mgumu wengine walikuwa wana mkanyaga kwa makusudi kabisa huku mashabiki wa simba wakifurahi sijui george mpole sijui...
Mama kapigiwa sana Simu (siyo za Vitisho) na Watu anaowaheshimu na wenye Nyadhifa zao na wale waliowahi kuwa nazo nchini (wenye Mapenzi mema) na Yanga SC ili amsihi Mwanae abadili Maamuzi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.