Mukoko Tonombe kutua Simba?

Hadrianus

JF-Expert Member
Feb 19, 2020
2,112
5,208
Baada ya kuzagaa tetesi za chama kutimkia jangwani, upande wa pili napo kuna tetesi za kiungo mkabaji wa timu ya wananchi Mukoko Tonombe "ticha" kuhamia Unyamani dirisha dogo Dceember 15.

Hii imekuja baada ya post ya Haji Manara, Afisa Habari wa SSC katika kurasa zake za mitandao ya kijamii.

FB_IMG_16051616195898623.jpg
 
Kwa hesabu ya kawaida kabisa,Yanga kwa wachezaji wa muda ambao inaweza kutikisika ikiwakosa Ni Feisal,na Lamine ambao wote wanna mikataba ya miaka 2+,hivyo hawawezi kuwachukua.

kwa kuwa wachezaji wengi wanaosifiwa yanga wamesajiliwa dirisha la august then tuseme kila mchezaji mpya kapewa miezi 6 tu hapo maana yake mkataba utaisha February.

Kwahiyo Kama Simba wakitaka kuchukua mchezaji wa kueleweka Yanga,maana yake ni mpaka wamnunue kitu ambacho kwa timu hizi Ni nadra Sana.Hii ni propaganda,labda Kama kuna mchezaji kapewa miezi mi4.
 
Achana na post za huyo kalia tako moko.
 
Mkuu wewe ni mtu wa mpira kweli. Ila inasemekana hao huyo mkongo yuko kwa mkopo. Simba wameenda AS VITA kumalizana nao. Bado napekecha nipate ukweli ila.so far ndio tetesi zilizopo.

Sent from my PBAT00 using JamiiForums mobile app
 
kwa mimi huwa namkubali sana manara na hpo ni huyo mukoko na kisinda hao ni simba dirisha dogo na ikumbukwe simba wameruhusiwa kusajili wachezaji 10 hili dirsha dogo
 
Back
Top Bottom