Cloutos Chama asaini Simba Sc miaka miwili,kumnunua ni Bilioni 2

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,242
103,921
Simba SC Tanzania have reached an agreement with Zambian international Clatous Chota Chama to extend his stay in the club for two more seasons.

Chama will pocket $72,000 (Tsh. 180 million) in sign on fees and $6,000 (Tsh. 15 million) monthly salary. The player will be allowed to leave the club any time should he receive a better offer after paying a release clause of $800,000 (Tsh. 2 billion)
1604928562740.png
 
Hongera sana simba kwa kumbakisha Mwamba wa Lusaka.

Ila mlipaswa pia kumpa mkataba Lamine Moro alipokuja kwenye majaribio. Mmetuletea wachezaji wazembe kama Joash na wawa.

Simba inapaswa kufanya mabadiliko makubwa SANA kwenye safu ya ulinzi
 
Hii ni habari mbaya sana kwa utopolo walitumia kila mbinu ikiwemo maneno ya Hanspope pamoja na mwanachama wao waandishi wa habari kutaka kumufitinisha na Simba
 
Wanachofanya Yanga ni kuifanya Mikia itoboke vizuri .
Sasa hivi kila timu inajua namna ya kucheza na Mikia ili Chama asifurukute.
Umeangalia takwimu Chama ndio kaongoza kupiga pasi76 hakuna hata mchezaji mmoja wa upotolo aliyefikia nusu yake
 
Back
Top Bottom