Mo salah tested positive for Covid19

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,336
Shirikisho la kandanda nchini misri limethibitisha kuwa mshambuliaji wake Mohammed Salah maarufu kama "Mo salah" Amekutikana na ugonjwa wa Covid19 wakati akijiandaa na mechi ya kufuzu afcon

Hivyo salah ameondolewa kwenye kambi ya mafarao na tayari amejiweka carantine
 
Shirikisho la kandanda nchini misri limethibitisha kuwa mshambuliaji wake Mohammed Salah maarufu kama "Mo salah"
Amekutikana na ugonjwa wa Covid19 wakati akijiandaa na mechi ya kufuzu afcon
Hivyo salah ameondolewa kwenye kambi ya mafarao na tayari amejiweka carantine

Source, Supersoport
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom