Stories of Change 2023

Awamu ya Tatu. Maudhui yanayolenga kuchochea mabadiliko chanya na kupelekea kuwepo kwa Uwajibikaji au Utawala Bora

On JF:

2 Votes
Katika zama hizi za vijana tujiajiri! Dhana korofi na swali tatanishi limekua ni kwa jinsi gani serekali inaweza kukabiliana na suala tambuka la ukosefu wa ajira. Kwa kurahisisha wengi huishia...
1 Reactions
2 Replies
596 Views
Upvote 2
1 Vote
Muktasari: Kilimo ni sekta muhimu sana nchini Tanzania, ambayo inachangia kwa kiasi kikubwa katika uchumi wa taifa na ajira za wananchi. Hata hivyo, katika miaka ya hivi karibuni, sekta hii ya...
0 Reactions
1 Replies
884 Views
Upvote 1
1 Vote
Naitwa Desmond sio jina halisi,nilimaliza Elimu ya msingi miaka kadhaa iliopita ,japokuwa sikuweza kuchaguliwa,kujiunga na Elimu ya upili, ilinilazimu kurudia tena mwaka mwingine na hatimae kuweza...
1 Reactions
3 Replies
610 Views
Upvote 1
0 Votes
Utawala bora ni mfumo ambao unasimamia sheria,taratibu na kanuni ambazo husimamiwa na serikali au taasisi yoyote ili kuhakikisha kuwa hakuna ukiukwaji wa haki za binadamu,uvunjifu wa sheria pamoja...
0 Reactions
0 Replies
467 Views
Upvote 0
2 Votes
DUNIA inabadilika pale miaka inaposogea, ya sasa siyo ya jana. Tuanapozungumzia mabadiliko tunazungumzia tabia ya nchi, mambo ya leo siyo yatakayokowepo kesho na siku zijazo baada ya kesho...
1 Reactions
2 Replies
409 Views
Upvote 2
2 Votes
MWIBA WA MTI HUONEKANA, WA MOYONI HAUONEKANI Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Methali ni usemi mfupi ambao una ujumbe wa maadili. Methali nyingi zina ujumbe wa kina ambao unaweza kusaidia...
1 Reactions
1 Replies
429 Views
Upvote 2
5 Votes
Viwanda ni katika sekta zinazotoa ajira nyingi sana kwa wananchi, Sekta hii ni ya muhimu katika ukuaji wa uchumi , Nikiwa kama mdau ambaye nimefanya kazi viwandani nathibitisha hilo kuwa viwanda...
3 Reactions
5 Replies
744 Views
Upvote 5
1 Vote
Kama tunavyofahamu kazi kubwa ya moyo ni kusukuma damu, moyo huu umekua tofauti katika kufanya kazi zake. Tazama moyo huu umegawanyika katika Makundi makuu mawili, kundi linaloonekana kunawiri...
1 Reactions
1 Replies
577 Views
Upvote 1
2 Votes
UTANGULIZI. Kwa miaka mingi, migogoro baina ya wanandoa imekuwepo, hata hivyo, kwa siku za karibuni, migogoro ya wanandoa imeongezeka maradufu. Migogoro ya ndoa huleta matokeo hasi katika ngazi ya...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 2
2 Votes
Tanzania nimiongoni mwa nchi ambazo zinapambana kujikwamua katika umaskini ili kuwa nauchumi wa juu barani africa,katika kufanikisha hayo nilazima kama nchi tuchague kuwekeza katika tafiti za...
1 Reactions
4 Replies
763 Views
Upvote 2
3 Votes
Mazingira ni jumla ya vitu vyote vinavyotuzunguka. Yanahusisha ardhi, misitu, vyanzo vya maji kama mito,maziwa na bahari, hewa na majengo. Hatuna budi kuhifadhi mazingira yetu kwa ustawi wetu na...
3 Reactions
5 Replies
811 Views
Upvote 3
1 Vote
Uhifadhi wa mazingira ni juhudi za kuchukua hatua zinazolenga kulinda na kudumisha mazingira ya asili ikiwa ni pamoja na mimea,wanyama,hewa,maji na ardhi.Uhifadhi wa mazingira unahusisha kushiriki...
1 Reactions
3 Replies
7K Views
Upvote 1
1 Vote
Tarehe tano mwezi wa sita kila mwaka ni siku ambayo dunia nzima inaazimisha siku ya mazingira. Mwaka huu 2023, siku hii imebeba kauli mbiu “ Pinga uchafuzi wa plastiki”.Nyaraka hii itaangazia...
1 Reactions
2 Replies
853 Views
Upvote 1
1 Vote
Mazingira ni jumla vitu vyote vinavyotuzunguka vikiwemo viumbe hai na visivyo hai.mfano wa viumbe hai ni pamoja na binadamu ,mimea na wanyama visivyo hai ni pamoja na mawe magari nyumba n.k...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Upvote 1
25 Votes
(imeandaliwa na Mr JOHN MBAGA) UTANGULIZI: Asidi ya hyaluronic ni molekuli inayopatikana kiasili katika miili yetu, ikiwa ni sehemu muhimu ya tishu za mwili, pamoja na ngozi, macho, na viungo...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Upvote 25
2 Votes
Tunatumia pesa kila siku na tunahitajika kutafuta pesa kila siku usiruhusu siku ipite bila kutengeneza pesa,na njia pekee ya kutengeneza pesa nikujifunza kutengeneza pesa.naumia sana nikimuona...
2 Reactions
0 Replies
742 Views
Upvote 2
3 Votes
Wanangu nawasalimu, Salamu ziwafikie, Niko hoi baba yenu, Naomba mlitambue, Ninalo jambo muhimu, Natamani mlijue, Nitaposhusha kalamu, ujumbe muusikie, Amani kitu muhimu,wanangu mnielewe...
1 Reactions
2 Replies
486 Views
Upvote 3
3 Votes
Uhai wa kilimo na mifugo yangu katika nchi yangu Utangulizi Tunapozungumzia kilimo na mifugo katika nchi yetu ya Tanzania tunagusa Nyanja ambazo kwa muda mwingi zimebaki kuwa mihimili ya vyanzo...
2 Reactions
3 Replies
557 Views
Upvote 3
6 Votes
utangulizi Utawala wa vijiji ,vitongoji na mitaa ni miongoni mwa tawala katika serikali za mitaa za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni utawala wa chini kabisa kimuundo ukitanguliwa na...
3 Reactions
6 Replies
774 Views
Upvote 6
11 Votes
Mwanangu, mafanikio yako utayapata Kwa juhudi Utangulizi Siku zote, mafanikio hayaji kwa bahati mbaya. Lazima uwe na juhudi, bidii na uvumilivu ili kufikia malengo yako na kuzishinda changamoto...
7 Reactions
5 Replies
1K Views
Upvote 11
Back
Top Bottom