Mshiriki lazima awe mwanachama wa JamiiForums, ambapo anaweza kujisajili kwa kiunganishi hiki; Register
Mshiriki anaweza kutumia jina la kubuni ‘pseudonym’.
Mshiriki atatakiwa kutaja jina halisi...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
UZINDUZI WA AWAMU YA 3 YA SHINDANO LA “STORIES OF CHANGE”
Ndugu Wanahabari,
JamiiForums (JF) ni asasi ya Kiraia iliyosajiliwa kufanya uchechemuzi wa Haki za...
Jinsi ya kushiriki Shindano la STORIES OF CHANGE
Kama tayari una Akaunti ndani ya JamiiForums.com, fungua Kivinjari chako (Browser) kisha ingia jukwaa la Stories of Change 2023
Bonyeza 'Start...
Habari,
Kama bado sio Mwanachama wa Jamiiforums unaweza kujisajili kwa kufuata hatua hizi chache na rahisi zifuatazo:
1. Pakua App ya Jamiiforums kwenye kifaa chako (Simu au Kompyuta)
Katika...
Kitambulisho cha taifa hutumika kuthibitisha uraia wa mwananchi kwenye taifa husika. Lakini namna ulimwengu unavyoshuhudia ukuaji wa kasi kwenye sekta ya teknolojia ni vizuri kuboresha...
Utangulizi
Maana ya Bima
Bima ni mfumo wa ulinzi au fidia ambao unamuwezesha mtu au shirika kulinda mali zao au kujilinda dhidi ya hatari au hasara ambazo zinaweza kutokea. Kuna aina mbalimbali za...
Siku moja nitamwambia Rais.
Anaandika Mwl. Makungu m.s
0743781910
Anayecheka kupita kiasi na anayelia kupita kiasi wote hutoa machozi...
Kwahiyo uamuzi ni wake,
" Anazika au Anasafirisha" ...
Habari wana jukwaa Leo ningependa nizungumuzie mada tajwa apo juu.
(Photo)www.ipp media. com
Malezi ni jukumu la kumuandaa mtoto jinsi gani aweze kuishi Katika Jamii ,hii...
STORIES OF CHANGE
JINA LA ANDIKO: MZAZI NA MABADILIKO KIELIMU.
MWANDISHI; ACYER MAMU
-MCHANGO WA MZAZI KATIKA MABADILIKO YA KIELIMU
Kumekuwa na mabadiliko makubwa katika sekta ya elimu kadri...
picha: mtandaoni@JamiiForums
UTANGULIZI.
Rushwa kwa maana iliyo nyepesi ni kitendo cha kutumia nafasi za kimadaraka na kiofisi au hadhi za kiofisi kutumia rasilimali za umma kujipatia manufaa...
UTANGULIZI.
kilimo ni shughuli inayojumuisha ufugaji na uzalishaji wa mazao. kilimo ni sekta muhimu sana katika nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania. Tunaweza kusema kuwa kilimo ni uti wa mgongo wa...
Kwanza nianze kwa kuipongeza serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa jitihada kubwa inayoendelea kuzichukua katika kutunza na kulinda mazingira yetu na vyanzo mbalimbali vya asili ambapo...
UTANGULIZI.
Maafa ni madhara yanayotokana na janga ambayo yanajumuisha uharibifu wa mfumo wa kawaida katika jamii ambao husababisha vifo, majeraha, madhara ya kisaikolojia,, upotevu au uharibifu...
UTANGULIZI
Habari za muda huu wanajamvi,Kila mtu anahistoria yake katika safari ya utafutaji wa riziki,Wapo wenye historia za kusikitisha,kufurahisha na kuelimisha.
Mwaka 2019 wakati dunia...
Ujuzi wa masomo ya kijamii ni taaluma ambayo inajumuisha masomo mbalimbali yanayozingatia utafiti wa jamii ya binadamu, miundo ya kijamii, taasisi za kijamii tabia na mienendo katika jamii na...
TITLE: APPLICATION YA SIMU KWA AJILI YA KUTATUA TATIZO LA UPATIKANAJI WA MTANDAO WA SIMU VIJIJINI (NETWORK CHALLENGE APPLICATION SOLVER)
UTANGULIZI
Tanzania ni miongoni mwa nchi duniani ambayo...
Kwa mataifa mengi duniani, imekuwa kawaida watawala kutumia mifumo ya kiutawala inayokiuka misingi ya utawala bora. Katika kukuza na kudumisha utawala unao zingatia zaidi uhuru wa kujieleza...
Itakua 2030, Greta Thurnberg ataenda kuandamana Riksdag kupinga mabadiliko ya tabia nchi. Itafika 2050, kamati ya Nobel itampatia tuzo ya mafanikio ya maisha kwa kubakiza dunia chini ya 3.5°...
MAKOSA YETU NDIO MARADHI YETU
UTANGULIZI
Wasomaji
Nawasalimu kwa jina la JMT,Kazi iendelee.
Kwanini nasema makosa yetu ndio maradhi yetu?Kwasababu makosa mengi tuyafanyayo kwa kujua au...
Habari za wakati huu ndugu zangu wote.
Kufanya kazi kwa bidii ni jambo muhimu sana ambalo sote tunahitaji maishani mwetu. Haiwezekani kufikia malengo fulani makuu bila kufanya kazi kwa bidii...
Kulingana na utaratibu uliopo hivi sasa, mwanafunzi anapo hitimu elimu ya sekondari (kidato cha nne) na kufikisha alama zinazohitajika anaweza kuchaguliwa kuendelea na elimu ya kidato cha tano na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.