Kwa Hapa nchini Tanzania ambayo Ili kuwa na mfumo wa kijamaa, kutoka TANU mpaka CCM.
CCM Bado Ina urafiki na nchini ambazo zilikuwa na mfumo wa kijamaa kama washirika wake wakaribu. Na china...
Tunahitaji maji katika shughuli za kila siku za kibinadamu (kunywa, upishi na usafi), kiuchumi (kilimo na ufugaji, uvuvi, ujenzi, kuzalisha nishati, utalii, viwandani n.k) na mazingira. Katika...
Habari jukwaa,
Dunia ina mabara saba ambayo yameruhusu watu kuweka maskani yao, hapo tunamzungumzia bara la Asia, Afrika, Ulaya, Australia, Amerika ya kusini, Amerika ya Kaskazini pamoja na...
TITLE: APPLICATION YA SIMU KWA AJILI YA KUTATUA TATIZO LA UPATIKANAJI WA MTANDAO WA SIMU VIJIJINI (NETWORK CHALLENGE APPLICATION SOLVER)
UTANGULIZI
Tanzania ni miongoni mwa nchi duniani ambayo...
UTANGULIZI
Habari za muda huu wanajamvi,Kila mtu anahistoria yake katika safari ya utafutaji wa riziki,Wapo wenye historia za kusikitisha,kufurahisha na kuelimisha.
Mwaka 2019 wakati dunia...
"Baba Wande amka unachelewa kazini" ilisikika sauti ya Mke wa mwalimu Matinyi ambaye ni mwalimu wa somo la hisabati katika shule ya sekondari MAPWE. Kwa haraka mwalimu Matinyi aliangalia saa yake...
Utangulizi
Bima ya afya ni huduma ya mafao ya faida ya mfuko wa afya unao mrahisishia mteja kupewa huduma za kimatibabu wakati wowote anapohitaji huduma hiyo.
Miongoni mwa huduma ambazo wateja wa...
Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania (TISS) Ni Idara ambayo inamajukumu ya kukusanya, kuchunguza na kuchambua Taarifa na shughuli zote zinazohusiana na Usalama wa Taifa. Ikiwa ni pamoja na kubaini...
Zaidi ya mara moja tumeona Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ikionesha kuwa imekusanya mapato Zaidi ya maalengo yao. Hali ambayo kwa haraka inaweza kuonesha kuwa TRA wako vizuri kwenye ukusanyaji...
Naandika kuhusu mambo ambayo yamekuwa yanafanyika mwenye vyombo hivi vya habari pendwa na vyenye watumiaji wengi. Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ukuaji mkubwa wa tasnia hii ya habari...
Na mimi huwa natumia hizi njia kama naona nna mawazo sana. Kwaiyo nawe zinaweza kukusaidia.
Stress huanzia pale unapokubali kuendeshwa na mawazo yanayokujia.
Bongo zetu ni mashine za mawazo...
Utangulizi.
Baada ya kuja kwa ubepari , uhuru wa watu kufanya Biashara popote ilichangia kuwa na muingiliano wa wafanyabiashara kutoka sehemu mbalimbali Dunia .
Hapo ndipo walanguzi wakubwa...
Sekta ya mifugo ina nafasi kubwa katika kujenga uchumi imara wa taifa, kuongeza kipato kwa watanzania wanaotegemea mifugo, kutoa fursa za ajira pamoja na kuhifadhi rasilimali za taifa, Jukumu...
Programu na Mtandao wa Wingu Kuhakikisha
Usimamizi Thabiti na Endelevu wa Taka katika Miji
View attachment 2658954
UTANGULIZI
Katika harakati za kujenga miji ya kudumu na yenye mazingira...
Zumaridi ni msumari wa moto na chachu ya mabadiliko na wala hamuwezi kumpeleka popote.
Mnamnanga kwa yeye kujiita ni mungu, hivi kweli ninyi mnaakili sawa?
Je mnataka kumpeleka mahakamani...
ConstantineJ. Samali Mauki
Utangulizi
Bayogesi ni nini?
Kwa mujibu wa Lucía Fernández wa Statistica (Feb 8, 2023), Bayogesi ni mchanganyiko wa gesi ya methane na hewa ya ukaa (kabonidayoksaidi)...
UTANGULIZI : Kumekuwepo na malalamiko mengi sana kutoka kwa watanzania kuhusu utendaji kazi wa maafisa wa serikali wakiwa ndani ya ofisi za Umma.
Hii kero imekuwa ya muda mrefu na ambayo...
Ni saa tatu za asubuhi, nikiwa nafua nguo nje ya nyumba yangu. Nashitushwa na ujio wa ghafla wa askari mgambo wanne wenye nyuso za shari shari wakiwa wameambatana na mwenyekiti wa mtaa. Japokuwa...
Miongoni mwa udhaifu mkubwa wa mfumo wa demokrasia ni nadharia yake ya 'wengi wape'. Nadharia maarufu ya utawala inayotaka kiongozi achaguliwe na kundi kubwa la watu bila kujali wasifu au uwezo wa...
Kitambulisho cha taifa hutumika kuthibitisha uraia wa mwananchi kwenye taifa husika. Lakini namna ulimwengu unavyoshuhudia ukuaji wa kasi kwenye sekta ya teknolojia ni vizuri kuboresha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.