Lishe bora ni kitu muhimu sana kwa afya yetu na ustawi. Lakini bado, wengi wetu hushindwa kupata lishe bora kila siku kwa sababu ya aina ya vyakula tunavyokula na mitindo yetu ya maisha imejaa...
MAPINDUZI YA KIDIGITALI YANAHITAJI MAPINDUZI YA KISHERIA KWA MAENDELEO ENDELEVU
Ni kwa jinsi gani sheria za kitanzania na kanuni zinasimama katika njia ya mabadiliko ya kidigitali?Tatizo ni kwamba...
Kifaa kinachoitwa “drone” ni mfano wa ndege ndogo inayoweza kupaa na kusafiri bila kuwa na rubani ndani yake. Drones zinaweza kuwa na ukubwa tofauti tofauti kulingana na uwezo wake wa kufanya...
Kiwango cha maendeleo endelevu na changamoto za mabadiliko ya tabia nchi ni za kimataifa. 2015 ulikuwa mwaka wa kihistoria wa kuorodhesha enzi mpya ya maendeleo endelevu, kama matokeo ya mikutano...
Biashara bora zaidi za ubunifu huunda kiwango kinachofaa cha utawala katika mipango yao, kuingiliana na wadau wote na timu za utendaji kazi katika hatua nzima ya maendeleo. 'yanayofaa' inamaanisha...
Uchumi wa Gig unarejelea soko la ajira lenye sifa ya kazi za muda mfupi, za muda au za kujitegemea, mara nyingi huwezeshwa na majukwaa ya mtandaoni au vibarua sehemu zingine za kiuchumi . Katika...
HODI! HODII!!JE UKO TAYARI KUNISIKILIZA NINAYOKUAMBIA, SIO YA MAANA SANA ILA SIKULAZIMISHI UYAZINGATIE, NAKUSIHI USIYAPUUZE
Ilikuwa ni siku ya jumamosi usiku tulikuwa tukijiandaa kwa ajili ya...
KANUNI ZA UTENDAJI BORA NA MICHAKATO YA MAJADILIANO KABLA YA KUFANYA MAAMUZI YA UMMA
Michakato ya mashauri kupitia uwakilishi wa bungeni (inayojulikana kama "michakato ya kujadili" kwa ufupi) ni...
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni katiba iliyotungwa mwaka 1977. Katiba hii inaielezea Tanzania kama nchi ya kidemokrasia, inayofuata misingi na haki za binadamu na siasa yake ni ya...
Katiba ya taifa sio tu sheria inayofafanua kimkakati muundo wa serikali na uhusiano kati ya serikali na watawaliwa bali ni kioo kinachoakisi nafsi ya taifa, utambulisho wa maadili, ufafanuzi wa...
MUAFAKA WA MAAMUZI JUU YA UKUSANYAJI WA MAPATO BADO NI UTATA MTUPU
Kufuatia kauli za Mheshimiwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ya tarehe 17/5/2023 akiwa anaongea na Wafanyabiashara wa Kariakoo ipo...
Sababu za Serikali kutokumzingatia mwananchi zinaweza kuchangiwa na kazi na mtazamo wa baadhi ya watumishi wa Serikali, mapungufu ya miundo ya kitaasisi yaliyopo na pia wananchi wenyewe.Ingawa...
Kama mtu anavyofikiri, ndivyo mtu anakuwa, ni methali ulimwenguni na ni halisi kabisa
Wakati fulani hivi umeme ukikatika jijini kwetu , kwa hiyo kama kawaida jambo la kwanza lilikuwa kutafuta...
Vijana wetu siku hizi wametekwa nyara na tamaduni za kila upande wa dunia na kuiga kila kinachotokea huko kwingine kuanzia mavazi ,matendo mpaka fikra na mwelekeo wa kimaisha kiasi kwamba hakuna...
mwaka 1992, benki ya dunia ilifafanua utawala bora katika ripoti yake "Utawala na maendeleo" kama - ''Namna ambayo mamlaka yanatumika katika usimamizi wa rasilimali za kiuchumi na kijamii za nchi...
Nchini Tanzania kama ilivyo sehemu nyingi duniani mitandao ni kitu kilichoshika kasi,na maisha yetu kwa sasa yametawaliwa na mitandao,kabla yakuona soko mtandao tujifunze kidogo kuhusu DIGITALI...
Ni wazi kuwa katiba ya sasa imepitwa na wakati kwa sababu kuu mbili. Kwanza, katiba ya sasa ina chembechembe za ukoloni. Na kama tujuavyo ukoloni ulijaa ukandamizaji, unyimaji wa haki na utawala...
SHERIA YA ULINZI WA DATA NA ATHARI ZAKE KWA WAFANYABIASHARA NCHINI TANZANIA.
Sheria ya Ulinzi wa Taarifa binafsi ,sheria namba 11 ya mwaka 2022 ilipitishwa tarehe 1 Novemba 2022 kama utambuzi wa...
Taswira ya biashara mtandaoni ni muhimu sana kuhakikisha mfanyabiashara anajenga mtazamo chanya kwa wateja na kuendelea kunufaika na soko la mtandao.Biashara inaweza kupata misukosuko kutokana na...
Uwezo wa serikali wa kulinda haki-za-binadamu ipasavyo unategemea kutegemeana kwa nguvu na taasisi za kidemokrasia zinazowajibika, mifumo jumuishi na ya uwazi ya kufanya maamuzi, na mahakama huru...