Stories of Change 2023

Awamu ya Tatu. Maudhui yanayolenga kuchochea mabadiliko chanya na kupelekea kuwepo kwa Uwajibikaji au Utawala Bora

On JF:

0 Votes
UTAWALA BORA NA KUPAMBANA NA RUSHWA KWA MAENDELEO YA KIJAMII NA KIUCHUMI Utangulizi Utawala bora na kupambana na rushwa ni masuala muhimu sana katika kuleta maendeleo ya kijamii na kiuchumi...
0 Reactions
0 Replies
603 Views
Upvote 0
0 Votes
Utangulizi Rasilimali za taifa ni tunu muhimu ambazo zinapaswa kutumiwa kwa manufaa ya wananchi wote. Kwa miongo mingi, suala la uwazi na uwajibikaji katika matumizi ya rasilimali za taifa...
0 Reactions
0 Replies
482 Views
Upvote 0
95 Votes
UTANGULIZI. kilimo ni shughuli inayojumuisha ufugaji na uzalishaji wa mazao. kilimo ni sekta muhimu sana katika nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania. Tunaweza kusema kuwa kilimo ni uti wa mgongo wa...
81 Reactions
10 Replies
2K Views
Upvote 95
0 Votes
UWAJIBIKAJI WA UTAWALA BORA NA KUIMARISHA UTAWALA WA SHERIA KWA USAWA NA HAKI Utangulizi Uwajibikaji wa utawala bora na kuimarisha utawala wa sheria ni msingi wa maendeleo endelevu katika...
0 Reactions
0 Replies
649 Views
Upvote 0
0 Votes
Kujiajiri vijana inamanisha vijana waliohitimu vyuoni waanzishe kazi au biashara zao wenyewe kutokana na elimu waliyonayo au waliopata vyuoni. Kwa maoni yangu hili ni wazo zuri saana lakini...
0 Reactions
0 Replies
873 Views
Upvote 0
0 Votes
UTANGULIZI  Sekta ya umma ina jukumu muhimu katika kuleta mabadiliko chanya katika jamii. Uwajibikaji wa sekta hii ni msingi wa utawala bora na ufanisi katika kutoa huduma kwa wananchi. Makala hii...
0 Reactions
0 Replies
379 Views
Upvote 0
1 Vote
Ni alasiri ya saa tisa mchana. “Hii nchi ilipofikia! Ila, ngoja tuvune tulichopanda”, maneno haya yanatoka kwa baba yangu, ambaye ameketi sebuleni akipata chakula cha mchana. Hii ni baada ya...
0 Reactions
2 Replies
418 Views
Upvote 1
0 Votes
Utangulizi Utawala bora na ushiriki wa wananchi ni mambo muhimu katika kuleta mabadiliko chanya katika jamii na kushughulikia changamoto zinazowakabili wananchi. Utawala bora unaohusisha uwazi...
0 Reactions
0 Replies
348 Views
Upvote 0
1 Vote
Katika hali ya kawaida ukimuuliza Mtanzania unajivunia nini katika nchi yako, atakutajia vivutio vya utalii kama Serengeti, Ngorongoro au mlima Kilimanjaro. Anaweza kwenda mbali zaidi na kutaja...
1 Reactions
1 Replies
294 Views
Upvote 1
0 Votes
UWAJIBIKAJI WA KIONGOZI: NJIA YA KUJENGA IMANI NA KUIMARISHA UTAWALA BORA Utangulizi Uwajibikaji wa kiongozi na utawala bora ni mambo muhimu katika kuleta mabadiliko chanya katika jamii na...
0 Reactions
0 Replies
646 Views
Upvote 0
0 Votes
Utangulizi Uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu katika kujenga jamii inayosimamia haki, usawa, na maendeleo endelevu. Nyanja mbalimbali za jamii, ikiwa ni pamoja na serikali, sekta...
0 Reactions
0 Replies
354 Views
Upvote 0
0 Votes
Katika miaka michache niliyowahi kufanya kazi katika jamii, nimegundua na kushuhudia namna WATENDAJI wa serikali wanavoihujumu serikali na nchi yao kwa kupokea rushwa. Hili linajidhihirisha...
0 Reactions
0 Replies
476 Views
Upvote 0
2 Votes
Utangulizi: Utawala bora ni msingi muhimu katika kujenga taifa lenye maendeleo endelevu na imara. Nchini Tanzania, kuna fursa kubwa ya kuleta mabadiliko chanya katika nyanja za utawala bora...
1 Reactions
1 Replies
500 Views
Upvote 2
1 Vote
Mada: Kutatua Changamoto za Mikataba Mibovu ya Ajira na Sera ya Jinsia katika Vyombo vya Habari Tanzania: Hatua za Kuchukua Mwandishi: MwlRCT I. Utangulizi Makala hii inalenga kujadili...
0 Reactions
0 Replies
583 Views
Upvote 1
6 Votes
Utangullizi Wanaweke wakiwezeshwa wanaweza, walisikika mabinti wakipaza sauti zao katika ardhi ya Tanzania, waliotamani kwa muda mrefu kutimiza semi zisemazo ukimwelimisha mwanamke umeelimisha...
5 Reactions
10 Replies
687 Views
Upvote 6
1 Vote
Kikwazo kikubwa cha uwajibikaji na utawala bora katika nchi yetu ni malezi anayopitia mtanzania wa kawaida, kuna namna ambavyo malezi yetu kuanzia shuleni hadi nyumbani yanatengeneza vijana...
0 Reactions
0 Replies
766 Views
Upvote 1
0 Votes
Mtu yeyote akisimama mbele ya mkusanyiko wowote wa Watanzania akatoa kauli ya kwamba, ili kuwe na maenendeleo makubwa na kumfikia kila mtanzania, kunahitajika mabadiliko makubwa katika utawala na...
0 Reactions
0 Replies
426 Views
Upvote 0
0 Votes
Uwajibikaji wa viongozi ngazi ya kata ni suala ya kuzingatiwa hasa kwa watu waliopewa mamlaka ya kuongoza bila kubagua dini au itikadi ya vyama.Viongozi kutokuwajibika katika utozaji wa tozo ndogo...
0 Reactions
0 Replies
334 Views
Upvote 0
0 Votes
UTANGULIZI Uwajibikaji, ni kitendo cha kiongozi au mtu yoyote mwenye dhamana ya kutekeleza majukumu na wajibu elekezi ambayo anapaswa kuyatekeleza kwa uaminifu uliotukuka kwaajili ya manufaa na...
0 Reactions
0 Replies
449 Views
Upvote 0
0 Votes
Akizungumza Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania [ TANESCO ] Ndg. Maharage Chande, amesema kukamilishwa kwa Bwawa la Nyerere [ JNHPP ] hakutapunguza gharama ya umeme nchini kwa sababu Shirika...
0 Reactions
0 Replies
531 Views
Upvote 0
Back
Top Bottom