1.KUONGEZA UKUSANYAJI MAPATO KUPITIA STENDI ZA MABASI
Utaratibu wa stendi za mabasi uboreshwe katika maeneo yafuatayo:-
A) Wenye mabasi mengi wapewe vipaumbele kwanza kwenye ugawaji wa vizimba...
Naandika kuhusu mambo ambayo yamekuwa yanafanyika mwenye vyombo hivi vya habari pendwa na vyenye watumiaji wengi. Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ukuaji mkubwa wa tasnia hii ya habari...
TEKNOLOJIA TATU MUHIMU ZINAZOWEZA KUTUSAIDIA KATIKA KUTATUA CHANGAMOTO NA KUTULETEA MAENDELEO.
TEKNOLOJIA NI NINI?
Neno Teknolojia au kwa kiingereza technology ni neno ambalo limetokana na lugha...
Utangulizi
Ilikuwa ni majira ya saa 12 za asubuhi, baada ya kutoka zangu msalani, niliamua kusikiliza taarifa ya habari kutoka shirika la Utangaazaji la Ujerumani (DW Swahili) kama ilivyokuwa...
Naanza kwa kuwashukuru waandaaji wa jukwaa hili la stories of change, kutoka jamii forum, kwa kuendelea kuwaleta wananchi karibu na serikali ili kujibu hoja zinazoibuka huku nami nikihoji nani...
Ni matumaini yangu uheri mzima wa afya msomaji na mfuatiliaji wa jukwaa hili la "stories of change" Naam katika ustawi wa taifa lolote lile ni lazima afya za watu wake ziwe bora, ikiwa afya zao...
Utangulizi: Ndani ya makala hii viongozi na watanzania wote wataweza kutambua sababu za kwa nini Tanzania inaweza kutokomeza tatizo la kukata kwa umeme ovyo ovyo.
Tanzania ni nchi ambayo ni...
Imekua kawaida sana, kwa vijana wengi pengine hata wazee ambao kwa namna fulani bado hawajafanikiwa kimaisha, kutumia hali ya kisiasa na kiuchumi kama kikwazo cha wao kutofikia malengo yao...
Unakumbuka, siku moja baada ya ajali ya moto katika soko la kariakoo, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliunda kamati ya siku saba kubaini chanzo chake?
Tukio hilo lililotokea Julai 11, mwaka 2021 na...
MAJUKWAA YA VIJANA
Kumekuwa na wimbi kubwa la mikutano, makongamano na mabaraza ambayo huandaliwa kwa ajili ya kutatua changamoto za vijana hususani katika sekta ya ajira na kujiajiri. Mabaraza...
UTANGULIZI.
Suala la Uwajibikaji na utawala bora limekuwa tatizo kubwa nchini Tanzania.viongozi wa serikali,watumishi wa umma, wafanyakazi na hata wananchi wote wanalalamikiwa.swali la...
DHAMIRA ya Serikali ya Awamu ya Sita ya kutaka kumaliza matumizi ya kupikia Kuni na mkaa, inaonyesha wazi haitafanikiwa kwa muda waliojipa wa hadi kufikia mwaka 2032 iwapo hawatabadilisha mbinu...
Njia rahisi ya kufanikiwa kwa watu wasio na uwezo wa kujiongoza wenyewe ni kuongozwa mfanowake naufananisha na Mbuzi au ng'ombe ukimpa uhuru atakula majani hata yale ya akiba ya chakula cha kesho...
ELIMU BILA MATENDO IMEKUFA
Imani bila matendo imekufa!
Haya unaweza kuyaona kupitia(Kwa nini imani bila matendo imekufa?). Haya ni maneno yanayopatikana katika biblia. Ni maneno yanayo tutaka...
Kulingana na kuwepo kwa changamoto nyingi sana zinazoikumba jamii ya kitanzania kuhusu gharama za bando na kuwepo kwa kutoeleweka namna ipi itumike ili kuwezesha upatikanaji wa gharama nafuu za...
Nimezaliwa mwaka 2013 katika wilaya ya Muleba na kulelewa na bibi yangu kipenzi, Bi.Khadija. Bi.Khadija alipenda sana kusoma na muda mwingi aliutumia kusoma vitabu vilivyoelezea utawala bora na...
UTANGULIZI
Katika makala hii utaweza kujifunza juu ya shujaa huyu mwenye nguvu asiyeweza kutumia silaha zake, tena ni kipofu.
Shujaa ni neno lililotumika kuwakilisha bara ambalo lina vyanzo vingi...
UTANGULIZI
Ukarimu ni mfano mmojawapo wa kete wanayotumia wanasiasa na viongozi wa serikali kusisitiza Watanzania kuuenzi utamaduni wa Mtanzania. Kimsingi ni malengo yetu sote tuufikie ustaarabu...
UTANGULIZI:
"Kutakuwa na amani ulimwenguni tu wakati kuna amani kwenye familia." - Mahatma Gandhi
Mahatma Gandhi, kiongozi wa uhuru wa India na mwanaharakati wa amani, anatoa wito kwa amani katika...
Katika katiba ya shirika la afya duniani, afya imefafanuliwa kama hali ya ustawi kamili wa kimwili, kiakili na kijamii na si tu kutokuwepo kwa ugonjwa. Yamkini, Afya pia haitazamiwi kama hali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.