Andiko langu linagusia uboreshwaji wa shule za vipaji ziwe katika vipaji vyote na sio katika uwezo wa akili darasani tu. Mathalani, kuwepo na shule za;
1. Vipaji vya sanaa kama wachongaji...
UTANGULIZI
Mmomonyoko wa maadili ni kutozingatiwa kwa utaratibu wa maisha unaokubalika katika taifa ambalo limejiwekea na madhara yake ni makubwa kwa jamii na hivyo kuathiri kuongezeka kwa vitendo...
Fumbo la nishati: Nishati huifadhiwa, lakini tunaishiwa.
Tuangazie vyanzo vyetu vya sasa vya nishati na matarajio yetu ya nishati ya siku zijazo kwa ufupi. Kisayansi, hebu tuangalie baadhi ya...
#Storyofchange2023
Mwandishi: Wa Kale
Mawasiliano,
Email: officialmapatotz@gmail.com
Simu: +255745922142
Utangulizi: Katiba naweza kusema, ni taratibu, miongozo, kanuni na sharia zinazotumika...
Salama waungwana,
Hakuna anayeupenda, kila mtu anauchukia, Kwa kweli sijawahi kuona hata mtu mmoja anayetaka kuwa Maskini. Kila mtu, jamii na taifa hupigana vita ya umaskini Kwa kila namna...
I. Utangulizi
Tanzania, sawa na nchi nyingine duniani, inatambua umuhimu wa elimu kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Kwa miaka mingi, serikali imefanya juhudi kubwa kuendeleza mfumo wa elimu...
TANZANIA TUANZISHE ‘ELIMU YA SAYANSI KWA URAIA UNAOWAJIBIKA
Hivi sasa, elimu ya sayansi hailengi tu kuelimisha wanasayansi na viongozi wa baadae, lakini kuongeza idadi ya wanafunzi wote kuwa raia...
Mwanangu, mafanikio yako utayapata Kwa juhudi
Utangulizi
Siku zote, mafanikio hayaji kwa bahati mbaya. Lazima uwe na juhudi, bidii na uvumilivu ili kufikia malengo yako na kuzishinda...
Ni mimi na Wewe
Ili kujenga jamii bora yenye kuzingatia maadili na desturi za kiafrika basi watekelezaji wakubwa ni mimi na wewe. Mimi na Wewe ndio tunaoweza kuibadilisha jamii au kubadilisha...
Nchi yoyote inayotaka kuendelea inahitaji uwajibikaji na utawala bora. Katika Tanzania, vyombo vya habari vinalo jukumu kubwa katika kukuza uwajibikaji na utawala bora. Kupitia andiko hili...
Stafeli (soursop), pia inajulikana kama Graviola, ni tunda ambalo asili yake ni Amerika Kusini na Kati. Mti wa mstafeli hutoa tunda kubwa la kijani kibichi na lenye mvuto. Tunda hilo...
I. Utangulizi
Sekta ya teknolojia ina jukumu muhimu katika maendeleo ya Tanzania, ikiwa ni pamoja na kuchochea ukuaji wa uchumi, kuongeza ajira, kuchochea maendeleo na kuboresha huduma za umma...
NGUVU, AHADI NA MTIKISIKO WA MAJI SAFI YA TANZANIA
Benjamin Franklin katika karne mbili zilizopita alisema”Pale kisima kikaukapo,tunajua thamani ya maji’Vile visima ambavyo tulijivunia kwamba...
Tanzania, kama nchi nyingi za Kiafrika, inakabiliwa na viongozi wasiowajibika na wala rushwa. Hii imesababisha wingi wa matatizo, ikiwa ni pamoja na kukosekana kwa usawa wa kiuchumi, ukosefu wa...
Utangulizi,
Uwajibikaji na utawala bora ni misingi muhimu ya maendeleo endelevu katika jamii. Katika nyanja mbalimbali kama vile kisiasa, kiuchumi, na kijamii, uwajibikaji na utawala bora...
Ajali za barabarani nchini Tanzania zimekuwa ni janga ambalo limekosa ufumbuzi na linaloendelea kugharimu maisha ya watanzania wengi na kupoteza nguvu kazi ya Taifa.Licha ya kupoteza nguvu kazi ya...
Mtandao (Internet) umekuwa moja ya teknolojia zinazoongoza ulimwenguni na ambayo imetoa mchango mkubwa katika kuleta maendeleo ya kiuchumi, kijamii, na kuinua ustawi wa mamilioni ya watu duniani...
UTANGULIZI
Kama ilivyo kwa vijana wengi wa kitanzania nilikuwa na ndoto ya kumaliza shule kwa kutaka kusoma kadri ya uwezo wangu ili mwishowe niweze kuhitimu masomo yangu, nipate kazi ambayo...
MUHIMU KWA WAKINA MAMA WOTE WALIO KATIKA UMRI WA KUZAA KUTUMIA VIDONGE VYA FOLIC ACID MIEZI 3 KABLA YA UJAUZITO ILI KUZUIA ZAIDI YA MAGONJWA 100 IKIWEMO MGONGO WAZI NA KICHWA KIKUBWA.
FOLIKI ASIDI...
UTANGULIZI
Uchungu wa kumpoteza mtu unayempenda, kazi unayoipenda au kitu unachokipenda kinaweza kuleta athari kubwa zisizoelezeka. Changamoto hazikwepeki maishani na wahenga walisema shida...