Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

NI HOTUBA MOJA TU ULIGUSIA WINGI WA WANASHERIA WANAOSAKA AJIRA ILA HUJAZUNGUMZIA MAANDALIZI MABOVU WATU WANAWEKEANA NAFASI HASA NHIF,PPF,LAPF NA KADHALIKA,TUNAOMBA UWAPE ONYO WAAJIRI ILI WAAJIRI...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wapendwa natafuta Mfanyakazi wa Steshenari,Kituo cha Kazi ni Picha ya Ndege-Kibaha,na awe Anaishi Picha ya Ndege au Kibaha -Maili Moja, awe na ujuzi na vifaa vya steshenari,kama Printa,Compyuta...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
habari zenu wanajamii forum nimekuwa nikituma maombi ya kazi kwa muda mrefu sana lakini naona bado sipati hizo kazi sasa naomba ushauri kwani wenzangu mnatumia njia gani maana mambo kwangu...
1 Reactions
43 Replies
32K Views
REPOA is am independent policy research institution, registered under the laws of Tanzania since 1994. REPOA undertakes and facilitates strategic research; and facilitate and stimulate the...
0 Reactions
0 Replies
866 Views
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA. UTUMISHI WA UMMA S.L.P 63100 DAR ES SALAAM IMETANGAZA MTANZANIA YEYOTE, AOMBE NAFASI YA DG , MAMALAKA YA BANDARI TANZANIA (TPA). LAZIMA AWE NA...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Anatafutwa Mhasibu Msaidizi wa kufanya kazi kwenye ghala la kuuza vinywaji baridi vya jumla: Ghala lipo maeneo ya Mbezi Mwisho. Sifa: Awe ni mhitimu wa fani ya uhasibu kuanzia stashahada hadi...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
TUWASA Inawatanagzia kuwa wale wote ambao wameitwa kazini, wanapaswa kuripoti kabla ya tar 2/04/2016 katika Ofisi za TUWASA. Pakua Majina ya Walioitwa Sasa. Bonyeza hapa kuangalia jina
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu naulizia kama Selcom wameshaita watu kwenye Interview naona kimya muda mrefu wametangaza
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Deleted by Author
1 Reactions
21 Replies
2K Views
============== Habari iliwekwa kwenye hii thread=>Nafasi za kujiunga na mafunzo ya JKT 2016
1 Reactions
13 Replies
5K Views
ACHA KUWA SELFISH Dunia sio mapambano ya kupata au kukosa. Sio kweli kwamba kuna uhaba k ama tunavyoaminishwa. Sio kweli kwamba ili wewe uwe tajiri ni lazima wengine wawe masikini. Chochote...
0 Reactions
3 Replies
929 Views
Habari wanajamvi, kwa anayewajua hawa watu huwa wanalipa kiasi gani? Nafasi ya Sales consultant. Natanguliza shukrani zangu.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwa mahitaji ya kurekebisha Computer...kama haiwaki au ipo slow,Ku install Windows xp,7,8,10 au Apple OS.Data Recovery za flash memory cards pamoja na Harddisk. Ofisi ipo kariakoo mtaa wa...
0 Reactions
0 Replies
798 Views
Habari Jamii forum, Mimi ni fundi na mbunifu wa kudisign nguo mbalimbali za kike. Kwa sababu hizo office yangu inatoa nguo nzuri na kuperekea kua na wateja wengi kutoka mikoa mbalimbali ambapo...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari za siku nyingi wadau. Nina kijana mtaalamu mzuri wa kuendesha Excavetor kama unamhitaji kumpa ajira piga sasa hivi namba 0764601903 au 0784325436. Watu hawa ni nadra sana kuwapata,utakuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wametoa majina ya usaili bila kuwatumia message au kuwapigia simu wasailiwa...na kutoa kwenye mtandao wao tu .....wanadhani wote wanapata access ya internet wakati wote ili kuingia kwenye mtandao...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
habari za leo wenzangu?nilitupia ka cv kangu kwenye bank tajwa hapo juu kwenye zile kazi ambazo mwisho wake wa kutuma ilikua tarehe 25/february..naomba kujua kama waliishaita nijihesabu...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Mi nimwanafunzi mwaka wa tatu Tumain university makumira, wana jmf...niunganisheni basi.
0 Reactions
0 Replies
904 Views
Kwa mahitaji ya kurekebisha Computer...kama haiwaki au ipo slow,Ku install Windows xp,7,8,10 au Apple OS.Data Recovery za flash memory cards pamoja na Harddisk. Ofisi ipo kariakoo mtaa wa...
0 Reactions
0 Replies
701 Views
Back
Top Bottom