Tunakopesha Microfinance

nyantuzu

Member
Oct 1, 2014
87
23
Habari wanajamvi, kwa anayewajua hawa watu huwa wanalipa kiasi gani? Nafasi ya Sales consultant. Natanguliza shukrani zangu.
 
Mmmhhh hao watu hao mid ninvyojua wanalipiga asilimia kumi ya MTU atakavyo kopa yani kama ukanishawishi Mimi nikakopa million moja basis wew utapat asilimia kumi ya million mojai
 
Back
Top Bottom