Tujikomboe Finance
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 212
- 81
Anatafutwa Mhasibu Msaidizi wa kufanya kazi kwenye ghala la kuuza vinywaji baridi vya jumla: Ghala lipo maeneo ya Mbezi Mwisho.
Sifa:
Sifa:
- Awe ni mhitimu wa fani ya uhasibu kuanzia stashahada hadi shahada
- Awe tayari kufanya kazi kwa muda wa matazamio ili kumpima kama anaweza kazi
- Awe anajua computerized accounting (package yoyote)
- Awe anajua kutumia tarakilishi vizuri hasa programu ya Excel
- Awe mwanamke wa umri kati ya miaka 22-34
- Awe ana uzoefu wa kujaza return za VAT na kodi zingine
- Awe mkazi wa Mbezi Luius, Makabe, Kibamba au Kimara
- Awe ni mwaminifu wa kiwango cha juu
- Awe tayari kufanya kazi muda wa ziada
- Awe tayari kutekeleza kwa vitendo slogan ya ''HAPA KAZI TU''