Natafuta mfanyakazi wa stationery

Nchomali

Senior Member
Jan 28, 2016
111
44
Wapendwa natafuta Mfanyakazi wa Steshenari,Kituo cha Kazi ni Picha ya Ndege-Kibaha,na awe Anaishi Picha ya Ndege au Kibaha -Maili Moja, awe na ujuzi na vifaa vya steshenari,kama Printa,Compyuta n.k, Pia Ajitegemee malazi ,Malipo ni maelewano baada ya kupatikana. Asanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom