kichwabox
Senior Member
- Feb 14, 2016
- 152
- 40
NI HOTUBA MOJA TU ULIGUSIA WINGI WA WANASHERIA WANAOSAKA AJIRA ILA HUJAZUNGUMZIA MAANDALIZI MABOVU WATU WANAWEKEANA NAFASI HASA NHIF,PPF,LAPF NA KADHALIKA,TUNAOMBA UWAPE ONYO WAAJIRI ILI WAAJIRI KWA HAKI NI HILO TU,MAANA WATU TUNACHOMA NAULI ZETU TOKA MIKOANI ILA TUNAAMBULIA MANYOA MBALI YA KUFAULU KWA MAKSI ZA JUU WANAWEKA NDUGU ZAO NA USHAHIDI UPO