Mbona wote waliohusika na kashfa za EPA, Escrow, Richmond, radar n.k. wamepitia JKT, hebu nitajie aliyehusika na kashfa na hajapitia JKTwazalendo
Naona mganga wa Mchechu ni nooma.. Jipu limeshindikana kutumbua..Safi sana bado za EWURA na SUMATRA
Ha ha h, watoto wamegraduate juzi leo wanatamani u DG wa tpa.Watu hata maana ya DG hawaijui hiyo Director General hizo kazi ni za watu kuanzia miaka 50 huko na Kuendelea eti mwingine amefamya Graduation December 2015 ataka tangazo Poor Tanzania Graduates unatamani kazi ambayo huiwezi.
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA.
UTUMISHI WA UMMA
S.L.P 63100
DAR ES SALAAM
IMETANGAZA MTANZANIA YEYOTE, AOMBE NAFASI YA DG , MAMALAKA YA BANDARI TANZANIA (TPA).
LAZIMA AWE NA CHETI CHA JKT
HABARI ZAIDI SOMA GUARDIAN 21/3/2016 Pg 19