Nahitaji kazi, Msaada wenu Wakuu

Kila la heri...ninaukopi uzi wako namtumia mtu fulani hivi anayecheza na elimu...yaani mtu mwenye cheti anatafuta hata kazi ya kusuka nywele...!
 
Unaweza kufanya nje ya mkoa wa Dar kama vile Tanga au Mtwara au ww shida yako ni Dar pekee?
 
Amechelewa Mkuu, Nasikia kuapply ilikuwa mwisho Ijumaa iliyopita yaani tar 15 mwenzi huu.

Ila namshauri awe mvumilivu na awe makini si kila mtu ana nia ya dhati kumsaidia. Wengine wakishajua jinsia yako na shida uliyonayo watakuponza.

Na unapoomba kazi usiwe unaomba kwa kutegemea uhurumiwe itakucost dada yangu.

Hope, Nikipata panapokufaa nitakushtua.
 
Nipo makini,asante mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom