Peoples bank of Zanzibar wameita au bado?

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,051
2,106
habari za leo wenzangu?nilitupia ka cv kangu kwenye bank tajwa hapo juu kwenye zile kazi ambazo mwisho wake wa kutuma ilikua tarehe 25/february..naomba kujua kama waliishaita nijihesabu unsuccessfuly kuliko kuendelea kusubiri meli ubungo.
 
We dogo nae sifa sasa,kila kazi unaapply!zingine waachiage na wenzako.
 
habari za leo wenzangu?nilitupia ka cv kangu kwenye bank tajwa hapo juu kwenye zile kazi ambazo mwisho wake wa kutuma ilikua tarehe 25/february..naomba kujua kama waliishaita nijihesabu unsuccessfuly kuliko kuendelea kusubiri meli ubungo.
Ndiyo umemaliza chuo mwaka jana nini.? Inabidi uwe mvumilivu taratibu utazoea., nafasi za kazi zinazotangazwa kwenye mabenki mara nyingi ni kiini macho tu.
 
fanya yako bro.sidhani kama kuna siku hata moja nimewah kukuomba pesa ya stempu au hata bahasha.
haya kijana,lakini hiyo bank kama we sio shehe sidhan kama watajisumbua hata kusoma application yako!
 
Unaongea usichokijua kumbe.! Siwezi tena kupoteza muda wangu.,
mkuu watu kama hawa usiwr unapoteza hata nguvu zako kuwajibu.wamekaa kuwakatisha wenzao tamaa tu yeye kama hakua na sifa akaomba akakosa ndio anadhani kila atakae omba atakosa
 
habari za leo wenzangu?nilitupia ka cv kangu kwenye bank tajwa hapo juu kwenye zile kazi ambazo mwisho wake wa kutuma ilikua tarehe 25/february..naomba kujua kama waliishaita nijihesabu unsuccessfuly kuliko kuendelea kusubiri meli ubungo.
Kuna mtu anafanya kazi hapo. Kwa habari anazotoa ni kuwa bado hawajaita watu ktk usaili. Vuta subra kama ipo ipo tu.
 
Back
Top Bottom