Natafuta kazi sipati, msaada jamani

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
1,224
1,249
habari zenu wanajamii forum
nimekuwa nikituma maombi ya kazi kwa muda mrefu sana lakini naona bado sipati hizo kazi sasa naomba ushauri kwani wenzangu mnatumia njia gani maana mambo kwangu yanakuwa magumu sana.....nina elimu ya chuo kikuu hata kwa yeyoye atakayesikia mchongo mm nipo kilimanjaro anistue namba yangu ni 0714921363
 
Umesoma vitu gani huko chuo kikuu?
 
umri 28
chuo UDOM
Course Development Studies
mwaka niliomaliza 2013
Hebu update thread yako na hizi kualifikesheni. Anyway, ukiwa chuo uliambiwa ni kazi gani na gani waweza kuzifanya baada ya kumalilza chuo?
 
uskate tamaa, ingawa umemaliza mda mrefu, jamani kama kuna mtu anamchongo hamcheki ndugu yetu huyu, inauma sana since 2013? pole dogo ingia front.
 
Back
Top Bottom