Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Nina shida binafsi na Mh.Simbachawene, mwenye namba yake naomba anipatie wanajamvi. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kuna Telecom Engineer anapatikana, yupo competent kwenye issue zote zinazohusiana na telecom kama ifuatavyo:- 1.Security system -Door access control design, implementation and configuration...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Kuna Dada yangu ana certificate ya nursing. Ame'volunteer hospitali fulani hapa Dar zaidi ya mwaka ila hakuweza kupata kazi. Naomba kma kuna yeyote anaweza kunisaidia kwa hili...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarii wakuu, Mimi ni kijana wa miaka 28, ni mhitimu wa stashahada ya Uhandisi Ujenzi (Ordinary Diploma in Civil Engineering) mwaka 2020 na kufanikiwa kupata upper second class kutoka chuo Cha...
3 Reactions
3 Replies
497 Views
Habari wakuu, Nilikua naomba msaada wa jinsi ya kutuma maombi JWTZ kwa njia ya Email. Naomba mnielekeze jinsi ya kutuma unavyo upload barua na viambata vyote. Asanteni.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu Mamlaka ya usafiri wa anga kuna kazi wametangaza ============================== The Tanzania Civil Aviation Authority, (TCAA) was established by the enactment of the Tanzania Civil...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wana jamvi, Kwa niaba ya wenzagu wengi tunaotafuta interships kwenye sekta tajwa hapo juu,naomba kutumia uzi huu kuwaomba wale wote wenye uzoefu juu ya swala hili au wenye kufahamu taasisi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi ni mhitimu wa shahada ya uhasibu na fedha(bachelor of accountancy and finance) nimemaliza mwaka huu mzumbe university ,msaada wenu wanajamii forums mana nipo tu nyumbani sina na bado sijapata...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini ndugu zangu, Kuna tangazo la ajira la Redpath mining contractor kila nikilitazama kwa marakadhaa linanipa ukakasi pia ukiongeza na ile email yao ya ajira ya Gmail nashindwa kuwaelewa kwa...
0 Reactions
3 Replies
918 Views
habari ndugu zangu mm ni kijana mwenye technician certificate nliochukulia katika chuo cha MUST (mbeya institute).Shida yangu kuubwa ni kuulizia ni kwa namna gani naweza kupata internship...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nimepata kazi ya Cashier pharmacy store baada ya mda mrefu kuhangaika bila mafanikio kama miaka miwili na miezi 3 though nilifanya Fanya zingine na kuacha ila sizihesabu naombeni mnitie moyo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO ULIOFANYIKA TAREHE 19-04-2016 Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti halisi (Original Certificates) KADA: CHEMIST II MWAJIRI: GOVERNMENT CHEMIST LABORATORY AGENCY...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
ni kampuni gani au blog gani ambayo inalipa kwa mpesa, tigopesa au airtel money endapo utashare habari zao kwenye akaubti yako facebook au kwenye blog yako?. nimeuliza maana nasikia makampuni...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
TSN walitangaza nafasi za watu wa masoko lakin mpaka sasa sijasikia kama wameitwa. Yeyote mwenye taarifa.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naombeni mnisaidie wadau NI maswali gani naweza kuulizwa kwenye interview post assistant accountant. NI kwenye shirika lisilo la kiserikali.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
We are looking for someone who has teaching experience and who can speak good English Qualifications Certificate or diploma in teaching Job location Muscat oman contact information...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nipo mwanza nina elimu ya kati (marketing) kwa atakayehitaji msaada wowote toka kwangu tuwasiliane,kutafuta chochote, kufanya chochote halali niko tayari
1 Reactions
3 Replies
930 Views
.............................................
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu mimi ni fundi umeme natafuta kazi, kama Kuna fundi ambaye naweza fanya nae kazi naomba niwe nae, au kama Kuna mtu anaweza kuniunganisha kiwandani au kwenye sekta yeyote Tanzania...
1 Reactions
3 Replies
523 Views
Msichana mwenye elimu ya kidato cha nne anatafuta Kazi yoyote iliyo ya halali, ikiwa mkoa wa Arusha itakuwa vizur zaidi. NB: Sichagui kazi ilimradi iwe ya halali
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom