Tanzania Std Newspaper usaili lini?

MIGUGO

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
2,131
3,912
TSN walitangaza nafasi za watu wa masoko lakin mpaka sasa sijasikia kama wameitwa.

Yeyote mwenye taarifa.
 
Kuna jamaa namfahamu alifanya interview post ya Accountant na ameitwa kazini last week sasa sijui kama zilitangazwa pamoja na hizo
 
Tena mpaka sinior writter kuna jamaaa angu hajaitwa sjui tayar jamani? ila nakumbuka mkurugenzi wapale alitumbuliwa maana yule na mwambene yalikuwa majibu balaaa
 
Back
Top Bottom