K kifu Member Mar 20, 2016 11 0 May 5, 2016 #1 Msichana mwenye elimu ya kidato cha nne anatafuta Kazi yoyote iliyo ya halali, ikiwa mkoa wa Arusha itakuwa vizur zaidi. NB: Sichagui kazi ilimradi iwe ya halali
Msichana mwenye elimu ya kidato cha nne anatafuta Kazi yoyote iliyo ya halali, ikiwa mkoa wa Arusha itakuwa vizur zaidi. NB: Sichagui kazi ilimradi iwe ya halali
K kifu Member Mar 20, 2016 11 0 May 5, 2016 Thread starter #3 pwilo said: Kisongo utaweza kufanya kazi Click to expand... Naku pm tuongee vizur
Mdau Makin JF-Expert Member Sep 5, 2014 767 207 May 5, 2016 #4 tajen aina za kazi jamani wadau wapo wengi mno