Msaada kupata internship TANESCO

P.hunter

Member
Nov 16, 2015
74
27
habari ndugu zangu mm ni kijana mwenye technician certificate nliochukulia katika chuo cha MUST (mbeya institute).Shida yangu kuubwa ni kuulizia ni kwa namna gani naweza kupata internship tanesco...

Kuna wengine nmeulza wananiambia nikiwa na mtu nnae mfahamu pale itakua rahisi sana...kwhyo naombeni msaada wenu...labda km kuna mtu anafanya kaz tanesco au ana ndugu yke anaefanya kazi pale...asanteni
 
nenda physically ulizia ofc ya hr mwelezee shida yako atakuchukua tu......mimi nlishawai fanya hivo nkafanikiwa
 
Uko wapi mkuu? Wala hakuna shida fika katika ofisi husika jieleze utapata nafasi na ukiwa vizuri ni rahisi kupata kazi
 
Back
Top Bottom