Kwa anayehitaji mwakilishi wa kitu au shughuli yeyote Mwanza anitafute

napenda

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
485
90
Nipo mwanza nina elimu ya kati (marketing) kwa atakayehitaji msaada wowote toka kwangu tuwasiliane,kutafuta chochote, kufanya chochote halali niko tayari
 
Safi sana,nikitulia nitakutumia kunipokelea mizigo na kunitumia ila kabla nikija tuonane kwanza nikufahamu
 
mimi nipo Dar unaweza kuniwakirisha, kwenye kigodoro, kinachezwa leo hapo kwa mzee masanja, maana mimi ndo nilikuwa mgeni rasmi.wambie nimebanwa na vigodoro vimekuwa vingi
 
Back
Top Bottom