Elvicepride
JF-Expert Member
- Apr 8, 2013
- 243
- 65
Nimepata kazi ya Cashier pharmacy store baada ya mda mrefu kuhangaika bila mafanikio kama miaka miwili na miezi 3 though nilifanya Fanya zingine na kuacha ila sizihesabu naombeni mnitie moyo nifanye kazi kwa bidii maana nataka nikusanye hela ili nijiajiri mwenyewe kuajiriwa sio inshu na mniombee hata Kama hatujuani lakini ukitaja jina langu kwenye maombi sala zenu zitanibariki, asanteni