charlesfundi
Senior Member
- Jun 5, 2017
- 197
- 242
Habarini ndugu zangu,
Kuna tangazo la ajira la Redpath mining contractor kila nikilitazama kwa marakadhaa linanipa ukakasi pia ukiongeza na ile email yao ya ajira ya Gmail nashindwa kuwaelewa kwa alie Sengerema au mgodini hapo nyanzaga tunaomba utoe neno lolote kama kuna ukweli.
Asante.
Nawasilisha tangazo la ajira!View attachment ADVERT - NYANZAGA GOLD MINING PROJECT.pdf