NATAFUTA KAZI YA UHASIBU

RoadLofa

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
1,347
2,957
Mimi ni mhitimu wa shahada ya uhasibu na fedha(bachelor of accountancy and finance) nimemaliza mwaka huu mzumbe university ,msaada wenu wanajamii forums mana nipo tu nyumbani sina na bado sijapata shughuli ya kufanya ,kama kuna nafasi yyte ya kazi inayoendana na course yangu naombeni mnipatie , mi nipo arusha na uwezo wa kufanya kazi popote clubs, hotels nk,
 
1.Uhasibu
2.Community Development
3.Bachelor of arts with education
4.Marketing
5.Sociology
6.ICT
7.Law
8.
 
Kila taasisi iwe ndogo au kubwa inahitaji mtu wa hesabu (muhasibu);jaribu kutembelea taasisi ndogo ndogo zisizokuwa na majina angalau upate nauli pamoja na uzoefu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom