Kuhusu kushare habari na kupata malipo mtandaoni

Finder boy

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
608
150
ni kampuni gani au blog gani ambayo inalipa kwa mpesa, tigopesa au airtel money endapo utashare habari zao kwenye akaubti yako facebook au kwenye blog yako?. nimeuliza maana nasikia makampuni mengi yanalipa kwa paypal na wengine paypal ni mashikolo mageni kwetu.
 
kweli #sikuHiziKila Nyumba ina msanii sasa ndugu unataka kufanya kitu ambacho haukijui, ngoja nikueleze tu kwa ufupi, uli uweze kujipatia kipato kutokan na blog inatakiwa ujisajil kwenye mitandao ya matangazo mfano adsense, bidvertiser, chitika na mitandao mingine ila akuna mitandao inayo lipa kwa njia ya mobile money yote inatumia mastercard na baadhi inatumia paypal na west union ila hapa bongo tuna mitandano ya matangazo pia mfano pin point, seebait na kwanza hawa ndio na hawa baadhi wanalipa kwa njia ya simu ila kufanikisha kujiunga kwenye hii mitandao ni vigumu mfano mitandao ya tanzania unatakiwa uwe unapata watembeleaji kuanzia 2000 na kuendelea ila hiyo ya nje inatakiwa blog yako iwe na miezi 3 na kuendelea

jinsi ya kuweka matangazo: matangazo hayawekwi kama ulivyo sema eti una share kwenye fb no ww utapewa code ambazo utaziweka kwenye blog yako sasa ukishare habari mtu lazima akiingia kwenye bog yako ataona ilo tangazo yaani kitendo cha kulibonyeza hilo tangazo basi ww unalipwa ila mitandao ya TZ awalipi kwa kubonyeza tangazo ila wanalipa kila tangazo litakapo onekana na wanalipa shilingi 1 mpaka 1.5
 
asante mkuu, ata mbuyu ulianza kama mchicha, tunaanza kwa kutokuvijua vitu, kisha tunavijua. asante kwa kunielewesha ndugu
 
Back
Top Bottom