Ottician
Senior Member
- Jul 6, 2019
- 103
- 83
Habari wana jamvi,
Kwa niaba ya wenzagu wengi tunaotafuta interships kwenye sekta tajwa hapo juu,naomba kutumia uzi huu kuwaomba wale wote wenye uzoefu juu ya swala hili au wenye kufahamu taasisi za kiserikali na binafsi ndani na nje ya nchi zinazotoa nafasi za intership katika sekta hii na utaratibu mzima wa kupata kusaidia madini hayo muhimu.
Natanguliza shukran zangu za dhati.