Nimeona wafanyakazi wengi wakipagawa mara baada tu ya kibarua kuota nyasi. Walikuwa wanaishi kwa kutegemea mshahara, kazi inapokata kila kitu kinakata. Kuanzia Akili, Mawazo, mpaka Pesa mwisho wa...
About Softbridge Technologies and Consultancy (SOTEC)
Softbridge Technologies and Consultancy (SOTEC) is a Private Information and Communication (ICT) Company, which was registered on 01st June...
Mimi ni mtaalam sana wa masuala ya designing & printing na ndio taaluma yangu.
Nahitaji mtu mwenye pesa isiyopungua milioni 3 ili tuweze kufungua stationery na niisimamie. Nitamuandalia workplan...
Habari zenu wakuu!
Secondment ni ajira ya pili baada ya kuwa umeajiriwa sehemu ya kwanza na ukawa unazitumikia ajira zote mbili kwa wakati mmoja. Je, utaratibu wa ajira hizo unapatikanaje hapa...
Employer: DAR ES SALAAM DEVELOPMENT CORPORATION (DDC)
Date Published: 2019-12-02
Application Deadline: 2019-12-16
JOB SUMMARY: N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
Driving motor vehicles and...
Habari wana JF
Mimi mwalimu wa masomo ya Chemistry na Biology natafuta kazi ya kufundisha. Nina uzoefu wa kutosha kufundisha na kuandaa practicals za masomo hayo kuanzia kidato cha kwanza hadi...
Habari,
Tuna kazi ya Finance, Admin and Procurement Officer kwenye kampuni mpya ya distribution.
Kama una interest naomba unitumie CV yako na Certificates kwenye email andrew@erncon.co.tz...
Je kama wewe ni full stack javascript developer, MERN (MongoDB, ExpressJS, ReactJS, NodeJS) au una experience na REACT NATIVE with FIREBASE or NODEJS backend, tuwasiliane kupitia namba hizi 0788...
Usahili wa awali wa vitendo kwa nafasi ya Dereva ll uliofanyika kuanzia tarehe 6/07/2019 hadi tarehe 26/07/2019 watahiniwa waligawanya katika makundi (Groups)
Katika Group la tarehe 21/07/2019...
Habarini za asubuhi ndugu zanguni, heri ya Christmas na mwaka mpya ujao 2020.
Niende kwenye scenario moja kwa moja:
Assume umefanya kazi kampuni A (1 year and above)
Baadae ukaomba kazi kampuni...
Natafuta shule kwa ajili ya kufundisha masomo ya Physics na Biology kwa ngazi ya O - level.
Mawasiliano yangu ni 0717 331 899.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu habari,
Mnamo mwezi wa Saba, Mwaka 2019, Jumuiya yetu pendwa ya SADC ambayo nchi yetu ni mwanachama ilitangaza ajira katika fani mbalimbali. Naomba kuuliza kinachoendelea huko maana...
Aassalam aleykum!
Nahitaji kuhamia Dar es Salaam kwani mume wangu ni mfanyabiashara katika jiji lile...je niandike sababu gani kwenye ile barua yakuomba kuhamishwa? Lengo langu barua yangu iweze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.