Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,917
- 24,674
Nimeona wafanyakazi wengi wakipagawa mara baada tu ya kibarua kuota nyasi. Walikuwa wanaishi kwa kutegemea mshahara, kazi inapokata kila kitu kinakata. Kuanzia Akili, Mawazo, mpaka Pesa mwisho wa siku wanaishia kupaniki katika Maisha. Wanapita wakiongea wenyewe kama machizi, kama wana watoto wa kike wakubwa watabadili tabia ili kujikimu.
Ajira ni kama kifungo, Unafungwa kwa pesa zinazoweza kukuhudumia tu lakini sio za kuweza kukupa Maendeleo.
Leo niko nakomaa na Uchakataji wangu wa Viazi kuwa chipsi, kesho nitatafuta mishe nyingine ya kufanya lakini iwe personal.
Ajira sitaki kwa sababu Naogopa mno kufukuzwa kazi.
Cc Zero IQ
Sent using Jamii Forums mobile app