Nasikitika huwa hawatoi feedback yoyote. Mimi nilisha apply mara nyingiWakuu habari,
Mnamo mwezi wa Saba, Mwaka 2019, Jumuiya yetu pendwa ya SADC ambayo nchi yetu ni mwanachama ilitangaza ajira katika fani mbalimbali. Naomba kuuliza kinachoendelea huko maana application tulipeleka pale Wizara ya Mambo ya Nje.
Asante
Duuh.. Tunaomba hiyo link ya hayo majina. Mbona utumishi sijaona mkuu. Saidia pleaseMwezi wa 10 au wa 11 Walitoa feedback. Check website ya wizara ya utumishi. Kuna list ya watu 99 Kati ya 900 waliochaguliwa kwenda hatua ya Mbele.
Nipe email nkutumieDuuh.. Tunaomba hiyo link ya hayo majina. Mbona utumishi sijaona mkuu. Saidia please
Nimeona jina lam mshikaji wangu hapo. Hivi si inabidi hawa washindanishwe na wa nchi zingine za sadc?List ya waliopita mchujo wa kwanza hii hapaView attachment 1289139
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeona jina lam mshikaji wangu hapo. Hivi si inabidi hawa washindanishwe na wa nchi zingine za sadc?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafasi zilikuwa nyingi sana. Kila nafasi/kada wamekuwa shortlisted watu watatu mpaka wanne
Ok bado zipo mkuu?Nafasi zilikuwa nyingi sana. Kila nafasi/kada wamekuwa shortlisted watu watatu mpaka wanne
Sent using Jamii Forums mobile app