kikoozi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2015
- 2,030
- 2,930
Habarini za asubuhi ndugu zanguni, heri ya Christmas na mwaka mpya ujao 2020.
Niende kwenye scenario moja kwa moja:
Assume umefanya kazi kampuni A (1 year and above)
Baadae ukaomba kazi kampuni B, ukapata kazi ukaanza kufanya kazi kampuni B (ndani ya miezi miwili) kampuni X ambayo ilikuwa ndoto zako siku nyingi kufanya kazi, wakatangaza nafasi za kazi za profession yako.
Swali la kwanza linaanzia hapa, je utaomba? Kumbuka una mkataba wa kampuni B, na ndio kwanza una miezi miwili au mmoja.
Swali la pili, je kama utaomba kazi kampuni X, kwenye CV yako utaiweka Kampuni B? (kumbuka una mwezi nao mmoja, au miwili tu tangu uanze)
Assume baada ya kuomba kazi kwenye iyo kampuni X ukaitwa kwenye interview je katika swali la kwanini unaondoka kampuni B, na kwanini ndio kwanza una miezi miwili au mmoja unataka kuondoka unajibu vipi?
Natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa
Na nategemea kupata majibu safi na yenye kunielimisha mimi kijana mtafutaji
Karibuni
Sent using komputa mpakato