Kazi ya kuendesha bajaji

Kazi ya kuendesha bajaji

Caisary1

New Member
Joined
Dec 1, 2019
Posts
3
Reaction score
0
Natafuta kazi ya kuendesha bajaji
Niko Dar
Nicheki kwa namba 0652164043
 
Natafuta kazi ya kuendesha bajaji
Niko Dar
Nicheki kwa namba 0652164043
Kwa kuanzia,
Tafuta kijiwe cha Bajaji kilicho karibu na wewe,
Nenda uwe unashinda hapo huku ukijitangaza kuwa unatafuta kazi ya Bajaji,
Utaanza kuwa unapata dei waka hapo kidogo kidogo,
Ikitokea Bajaji hao hao madereva wa hapo kijiweni ikiwa wameanza kukufahamu wao ndio watakao kuunganisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom