Rais Magufuli ameagiza vijana 800 wenye shahada waliojitolea katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa miaka miwili kuajiriwa serikalini kuanzia Februari 2020.
Akizungumza jijini Dodoma, Katibu...
Ndugu zangu,
Kwa profession mimi ni operator wa excavator pia ni welder. Kwa yeyote atakayekuwa na connection asisite kunijulisha kupitia wawasiliano haya 0676030410
Sent using Jamii Forums...
Atakayeniunganisha na kazi inayoanzia mshahara wa 250,000/= kwenda juu 50,000/= nitakuwa nampa yeye mwaka mzima kila mwezi nampa 50,000/= yeye.
Nipo DSM
Bachelor of education, nafundisha...
Wakuu nafahamu hapa JamiiForums kuna watu wenye connection mbalimbali, tafadhali sana kama mnaweza kunisaidia kwenye jambo hili maana nahisi kama sijaitendea haki field yangu.
Mwiba Holdings Limited is registered Tanzanian Company under Companies Ordinance (Cap. 212) an
Operations in Arusha, Meatu-Simiyu and Mara Regions.
We are currently looking for Sales A...
Natafuta kazi kwa yoyote anayejua kampuni inayohusika na urembo wa majumbani (kupiga rangi na skimming) mimi ni fundi uzoefu miaka 6.
0712036133
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawasalimu wakubwa kwa wadogo.
Poleni na hizi mvua za tangu leo asubuhi ( kwa wakazi wa Dar).
Namshukuru Mungu ni siku nyingine, nipo mzima wa afya.
Nikienda kwenye lengo la uzi moja kwa moja...
Naishi Arusha, nimemaliza Barchelor of business administration-accounting 2017, nimefanya training ya kutosha ya uhasibu nafahamu vitu vingi katika maswala ya kihasibu, naifahamu Excel vzr sana...
Wadau
Anatafutwa derive mzoefu wa Taxi ( pia Taxify,Uber nk)DaresSalaam ili nimkabidhi gari kwa ajili ya biashara ya Taxi, awe na sifa zifuatazo;
Awe na uzoefu wa kutosha katika kazi hiyo hapa...
Habari Wakuu, natafuta kijana wa kutengeneza kucha haraka iwezekanavyo zaidi soma hapa
Eneo: Mwenge karibu na Bodi ya Mikopo
Jinsia: Me
Malipo: Makubaliano
Mawasiliano: 0672593292
Wakuu poleni na changamoto za maisha katika pilika za kutafuta mkate!
Kuna viwanda vya paper vipo Mgololo Mufindi Iringa, nasikia wanatoa kazi mwishoni mwa mwaka huu.
Kwa aliyewahi ama kuna...
Responsibilities:
Cash Management
• Ensure weekly cash forecast/requirements are compiled for all DRC field offices
• Ensure that Nyarugusu Program has sufficient cash flow for implementation by...
Habari!
Nina Degree ya Elimu katika masomo ya Geography na Kiswahili, pia uwezo mkubwa wa kutumia na kutengeneza computer. Natafuta kazi yoyote ya kufanya. Mawasiliano yangu ni 0674 028 267.
Micro Finance Adviser
Type of role: Business, management and IT
Location: Unguja, Tanzania
Interview date: To be announced
Start date: May 2020
VSO is the world’s leading international...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.