Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Mwenye IST au VITz ya kukodi kwa ajili ya uber tuwasiliane! Nitamletea hesabu nzuri. Gari langu liko kwenye matengenezo makubwa! 0738969673
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Tafadhali wasiliana na namba 0621 538 913 kupata maelekezo zaidi. Sifa: - Awe na Shahada ya Elimu kwa masomo tajwa kwa chuo chochote kinachotambulika. - Jinsia (sex) yoyote - Awe Mtanzania -...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau, nauliza hivi nikienda kutaka kujitolea kufundisha shule nitakuwa napewa posho au mpaka waamue wao? Mimi lengo langu hii posho kufanya kazi miezi bila kitu ni zaidi ya kazi. Naomba kufahau...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Wasalaam wanajamvi. Kutokana na kupewa grace period ya miezi sita na serikali ya Tanzania. Vijana wengi wanajihusisha na biashara kadha wa kadha na makampuni pia. Tunakukaribisha PM kwa serious...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari, Mie mwenzenu natafuta gari ya Uber ,kwa maelewano ya malipo kama tutakavyoamua,Tayari account yangu iko active.Napatikana Dar es Salaam. Asante
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mmeanza ubaguzi wa kitaaluma kuna wahitimu vyuo mbali mbali wanasifa na weledi wa kuwahudumia watanzania *Mwalimu wa history anahitajika feza boys* *secondary* *Sifa za muombaji* Chuo mlimani or...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni sahihi kiongozi wa juu kumsukuma nje mfanyakazi wake kwa nguvu kama vile anamtoa nje kwa nguvu na kumsukuma? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
986 Views
Jaman marafiki me nilikua Natakakujua zaid kuhusu vyeo vya MA askali pia na mishahara yao kiujumla pamoja na Makato yao serikarini
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari wakuu! Natafuta kazi yoyote halali ndani ya Dar es salam. Jinsia= ke Umri= 21 Elimu= form 4, Certficate ya hotel management Ujuzi= fundi cherehani. Kazi nazoweza kufanya nikama...
9 Reactions
52 Replies
7K Views
Mimi ni mpishi wa vyakula mbalimbali na bites pia niko Mwanza namba yang ni 0747271066 tafadhali yeyote mwenye fununu wap ntapata anijuze. Natanguliza shukrani. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari, Ninaitwa Elifuraha Lyimo nipo Dar es salaam, kwa sasa natafuta kazi Ualimu wa shule za Msingi (English Medium) kwa masomo ya Mathematics, Social Studies, Kiswahili, Civics na Moral...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za kutwa wakuu? Natumaini mmeshinda salama ninaombi nahitaji kazi Le Grend Cassino kitengo chochote kile nipo tayari ukifanikisha kunipatia kazi hapo nitakulipa 200000 cash. asanteni...
0 Reactions
32 Replies
8K Views
Nahitajia kazi ya salon ya kike popote hata mikoani. Nina ujuzi wa urembo wa nywele toka VTC MIKUMI, nafanya kazi zote za beauty salon. Jinsia me, umri miaka 28 mwenye uhitaji anicheki kupitia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni mwanachuo nasomea electronics and telecommunication.........kama una sumbuliwa na vifaa vyako vya umeme iwe pasi, jug ya kumchemshia maji, Tv, deck, redio,n.k usihangaike piga 0622288860...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hello!! Habari? Kama kichwa hapo juu kunavyosema, natafuta kazi, iwe ya kujitolea au ya malipo kwangu sawa tu, ikiwa ya miezi kadhaa (mkataba), au namna yoyote in terms of time kwangu poa tu...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Nimeajiriwa katika kampuni (private sector), Nafanya kazi kwa bidii sana mpaka boss mwenyewe anaona kwamba kweli napiga kazi na kazi nazofanya zinaingiza pesa na kusifiwa na wateja pia lakini...
2 Reactions
20 Replies
6K Views
Habari, Mimi ni kijana mwenye miaka 24 elimu yangu ni Diploma in Accountancy and Financy naishi Dodoma kwa yoyote anayehitaji mfanyakazi kwenye maeneo niliotaja apo juu (ofisini, maduka ya aina...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa mahitaji ya kufanyiwa installation kuanzia awamu ya kwanza hadi awamu ya finishing. Bei zangu huwa ni rafiki sana kwa mkoa wa Dodoma ndiyo rahisi zaidi kukutana. Namba zangu za kazi ni...
0 Reactions
0 Replies
735 Views
Back
Top Bottom