Nimesoma Diploma in Procurement and Supply Management natafuta kazi yoyote ya halali

Habari wakuu

Heri ya mwaka mpya

Jinsia: ke
Umri: 23
Mahali napoishi: dar
Elimu: diploma in procurement and supply management

Natafuta kazi yoyote ya halali, mkoa wowote
pia ni mwepesi kufundishika

Kazi kama ya marketing officer’ hotel’ kuuza duka naweza haswa maduka ya urembo na nguo maana niko vizuri kwenye kuwashawishi wateja na pia ni muanifu % supermarket n.k

Nb: sina hela ya kupewa connection unisaidie tu nitakushukuru sana
Wale wa unilipe nikupe kazi’ SINA HELA wakuu

Matumaini yangu wanajf mtanisaidia

Wasalaam
Hi idi mpya inatutia mashaka sana na jina eti 'pisi kali' sijui unataka kimdaka nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu,

Heri ya mwaka mpya

Jinsia: ke
Umri: 23
Mahali napoishi: Dar es Salaam
Elimu: Diploma in Procurement and Supply Management

Natafuta kazi yoyote ya halali, mkoa wowote
pia ni mwepesi kufundishika

Kazi kama ya marketing officer’ hotel’ kuuza duka naweza haswa maduka ya urembo na nguo maana niko vizuri kwenye kuwashawishi wateja na pia ni muanifu % supermarket n.k

NB: sina hela ya kupewa connection unisaidie tu nitakushukuru sana
Wale wa unilipe nikupe kazi’ SINA HELA wakuu

Matumaini yangu wanajJF mtanisaidia

Wasalaam
why pisi kali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom