Natafuta kazi kwenye maduka, ofisi au supermarket kwa mkoa wa Dodoma

GodsGrace

Member
Dec 29, 2019
29
28
Habari,

Mimi ni kijana mwenye miaka 24 elimu yangu ni Diploma in Accountancy and Financy naishi Dodoma kwa yoyote anayehitaji mfanyakazi kwenye maeneo niliotaja apo juu (ofisini, maduka ya aina zote) naomba tuwasiliane.

Nitashukuru kwa ushirikiano wenu wakuu..
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom